Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
Wakuu habari za majukumu.
Nimejaribu kufuatilia tofauti ya entry qualification za nchi mbalimbali kama UK, kuna kitu tunatakiwa kukiiga ile tuweze kufikia elimu bora na yenye kuboresha matatizo mbalimbali ndani ya jamii.
Ili uwe lecture/ senior lecture kwa UK unatakiwa uwe na vigezo vifuatavyo:-
1. PhD with a strong research development potentials & publications in highly quality journal.
2. Applicants should demonstrate the ability to publish in top international journals.
Kwa watanzania, ili uwe lecture/senior lecture uwe na vigezo vifuatavyo:-
1. A GPA of 3.8 and above for undergraduate level and master level of GPA 4.0 and above.
2. Capacity to work with minimum supervision.
Ukijaribu Ku search baadhi ya walimu ambao ni maprofessor na madoctor wa Tz kwenye google, kwa kweli inasikitisha! Unakuta prof ana paper 9 tu toka mwaka 1999 hadi Leo!
My take: Watanzania tubadili mfumo wa GPA nadhani unatoa wataaluma wazembe wasiopenda kufanya tafiti..!