Tanzania VS Matapeli (!?): Uongo Unapotumika Kuficha Udhaifu Wetu

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,214
Ndege imekamatwa kutokana na deni letu la mkulima. Deni lipo na tunakubali (kwa shingo upande) kuwa lipo. Wanaotudai hatuwalipi, hatukai meza moja kuzungumza, bali sisi tukishinda zuio moja la mahakama tunatumia muda mwingi kujipongeza kuwa tuna wanasheria magwiji kuweza kumgaragaza mzungu.

Tunatumia muda na fedha za umma nyingi kugongeana glass za mivinyo ya Italy na ufaransa kusherehekea jambo la muda huku tukitumia UONGO kumdanganya Rais na Watanzania kuwa tumeshinda lakini kumbe deni liko palepale na tunajua hilo ndio maana tukazuia ATCL isiende tena South Africa kwa UONGO kuwa eti kuna xenophobia utadhani ndege ni zetu pekee ziendazo huko na Rais akakubali.

Njia ya muongo fupi, mzungu kaangalia wapi sheria itam favor na kuona ni Kanada akaenda.
Sasa Kabudi kama kawaida bila hata woga anamuita TAPELI ili kuficha udhaifu wake yeye na watendaji wa serikali katika kushughulikia aibu hii. Hivi kama taifa tunaweza kuchezewa na matapeli kiasi hicho? Jee mkulima mzungu ni mdai wetu au tapeli kwetu?

Nilipata kuona email moja hapa JF ikitoka kwa mkulima kwenda kwa Profesa Kabudi akiwa waziri wa sheria, na kama email ile ilikuwa ya kweli basi suala hili ni completely mishandling yake binafsi na ni makosa makubwa kuendelea kuwa na waziri amayetumia UONGO KUFICHA UDHAIFU.

Ni dhahiri baada ya kesi kule SA badala ya kujipongeza na kujisifia sifia kijinga, tulikuwa na nafasi ya kuzungumza pembeni na mkulima (tapeli) na kukubaliana namna ya kulipa kilicho baki kidogo dogo na kimyakimya bila ya kuaibishana.

Sasa Kabudi anataka kutugombanisha na Kanada, kwani biashara ya kununua ndege hizo ni siri kiasi watu wasijue? Tunanunua bangi kule?

Kabudi umefeli big time!
 
Trust is money kabudi anaona anaokoa pesa kumbe anapoteza zaidi,tuna poteza trust kama taifa waka wasettle hii kitu inatutia aibu
 
Pasco Uneshindwa kusema chochote japo kumuunga Mkono Rais lkwa Ndege kukamatwa Hata pole jamani!
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
 
Wasaliti wa Nchi wajiandae kisaikolojia

Tulipe deni mkuu ili tukaipokee ndege yetu pale terminal 3 huku tukiimba zile nyimbo zetu za magufuli mbele kwa mbele! Mkulima tapeli amedhamiria kweli kweli kutudhalilisha.
 
Nilistushwa na kauli ya kusitisha safari za ATCL kwenda SA; na hapo ndipo nilipoona tunadanganywa. Siasa za kudanganya hazina mashiko.
Uongozi wa awamu hii unahangaika kudanganya kuliko mipaka ya uongo Ila bahati mbaya uongo wao haudumu hata kwa miezi miwili unakuwa umejulikana.
Poor ccm, poor leaders, poor Tanzanians.
 
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
Lipeni madeni kwanza acheni ngonjera
 
KABUDI AONGEE KUHUSU DENI. AU BUNGE LIUNDE KAMATI YA KUCHUNGUZA HILI SUALA LA MKULIMA ANAYETUTESA.
 
walipe madeni ya watu waache blah bla si wanajidai kila siku kwamba wana pesa nyingi
 
Dawa ya deni ni kulipa, tena wanabahati sana......wangekua wanadaiwa na mtu kichaa kama mim ndo wangeipata fresh
 
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
Pole na mkulima mzungu kwa kufukuzwa nchini ambako pamoja na wewe kunufaika na kilimo pia ulikuwa unalipa Kodi na kutoa ajira.
Pole sana kwa kutolipwa na kuishia kuitwa tapeli.
Tunaomba kwa mizimu yote iwatie upofu wale wote wanaotudai wasikuone mkulima na wakaiga njia hii ya kukamata ndege zetu kudai kulipwa. Sijui Symbol wa umeme, Standard Charted Hongkong nk maana list ni ndefu.
Hao wakianza hakuna cha safari za Mumbai, Harare wala wapi. Sasa madilimulaina yetu tutayafanyaje?

Acha wabaki hawa wa ndani ambao wakisumbua tunamtuma Dipipii kuwafungulia ufuaji fedha kisha wanapotea huko ndani miaka kadhaa uchunguzi wakichoka wanaandika barua kuomba msamaha hawarudii tena kufua fedha, tunawaacha.
Kuongoza ni mbinu bwana!
 
Pole kwa Rais wa JMT kwa ndege yake kukamatwa.
Pole kwa Waziri Kabudi kwa TZ kusalitowa.
Pole kwa Waziri Mahiga kwa mateso kutuma vijana Canada
Pole kwa serikali yetu yote kwasababu ndege ni ya serikali.
Pole kwa CCM, kwasababu serikali ni ya CCM.
Pole kwa wanasheria watakaoteseka.
Pole kwa ATC ndege yao kukamatwa hivyo kuchelewesha kupiga pesa.
Pole kwa sisi Watanzania wote kwa ndege yetu kukamatwa na kututia hasara ambayo ni sisi tutaifidia.
Ndege ni rais Magufuli kwasababu ndiye aliyeamua kuinunua kwa cash money.
Ndege ni ya serikali kwasababu inamilikiwa na serikali 100%.
Ndege ni ya ATCL kwasababu ATCL ndio wanaitumia.
Ndege ni ya Sisi Watanzania wote kwasababu fedha zilizonunulia ni fedha zetu, na sisi ndio tunaoipanda.

Pole wote
P
Mbona umesahau hili...!?
Mkulima anaidai serikali, na serikali iliacha kumlipa!!
 
hunaga point unabebwa na umaarufu
 
Mbona umesahau hili...!?
Mkulima anaidai serikali, na serikali iliacha kumlipa!!
Watu wote wanasahau! Hata Kabudi anasahau kuwa Kanada iko jumuia ya madola tofauti na Marekani, hivyo hukumu zetu zinatekelezeka kote.
Yeye anataka kumtupia lawama balozi! Waziri wa mambo ya nje na waziri wa zamani sheria hajui hayo?
 
Back
Top Bottom