Tanzania vs Marekani: Transition of Power

CUF nacho kihistoria kilikuwa Chama kilichopendwa na Waislamu ambao hawakuipenda CCM, sijui ni kwa nini lkn ndiyo hivyo, kwani imekuwa ikishinda sehemu zenye Waislamu wengi, kihistoria!
Kwa hyo unatuaminisha sisiemu inaongoza madadravuu??
 
Dunia ya sasa under globalization ni mambo ya free movements ndo maana wametapakaa nchi nzima na nje. Sasa dhana yako ya mkoa mdogo ni mawazo yako finyu hafu wajidai mtetezi wa magu mbona aibu tupu


Lkn bado base kubwa ni KLM, isitoshe mimi siyo mtetezi wa Pombe Magufuli bali ni mtetetzi wa UKWELI na Raisi Magufuli ni UKWELI!
 
Lkn bado base kubwa ni KLM, isitoshe mimi siyo mtetezi wa Pombe Magufuli bali ni mtetetzi wa UKWELI na Raisi Magufuli ni UKWELI!
Base doesn't matter at all maana una support everything chake naye Ana mawazo hayo hayo potofu ya kutokufikiria nje ya box.
 
Bila unafiki,hakuna mtanzania yeyote hapa nchini ama nje ya nchi anayeichukia CCM kama mimi.Hata akiwa ndg yang ni mwana ccm,kwa vile naichukia ccm hata yeye pia nitamchukia,Hata kama atagua siwezi mpa huduma maana yeye nahisi atakuwa na maisha bora kama ccm inavyo jitanabaisha.
Ukiangalia Marekani kila Rais anayetoka madarakani lazima awe amechoka mwili na wengi huonekana kuzeeka,hii ni tofauti na hapa kwetu ambapo wa kwetu huonekana kunawili na kuwa kama vijana
Muombe Mungu akusaidie kushida chuki kama hiyo.
 
Acha kujitoa ufahamu,uchaguzi wa kipumbavu unaofanyika hapa nchini unawezaje kuulinganisha na ule wa Marekani?Hivi mtu unaanzaje kujiita mshindi wa uchaguzi kwa kutangazwa na tume uliyoiunda wewe mwenyewe?

Acha kuilinganisha Marekani na mambo ya kijingajinga,Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi wa Kidemokrasia,ni mazingaombwe tu yanayofanyika,nchi inayoendeshwa kidemokrasia haiwezi kutumia mihimili ya dola kukandamiza Raia wake huku mkuu akijiapiza kuwapoteza wote watakaompinga ndani ya dk.5

Nchi yenye kufuata misingi ya kidrmokrasia kamwe mkuu wake hawezi kuvitisha vyombo vya habari kwa kuvifungia,ni matusi makubwa sana kuilinganisha Nchi ya kusadikika(Tanzania) na nchi halisi(Marekani).Hadi pale tutakaporirudisha Taifa la Tanganyika,labda ndiyo akili zetu zitaturudia,kwa hapa tulipo ni mwendo wa push ups tu huku tukijisifu kuwa tunathibitisha uimara wa afya zetu,kumbe waliopo pembeni yetu wamebana pua zao kutokana Na hewa zinazozalishwa katika zoezi la push up.
Hapo umechanganya vitu!
kwanza shida ya tume ya uchaguzi iko beyond the scope of this thread! haijatajwa na wala hatuzungumzii uchaguzi ulikuwaje!
mtu kufungia vyombo vya habari au uhuru wa kujieleza pia sio kusudi la thread hii!
hapa tunazungumzia kukabidhiana madaraka!
miaka yote 55 maraisi walipomaliza muda wao walitoka, bila ya kulalamika na trend imekuwa just 10 years naachia na wakati huo ukifika mtu anatoka!
tazama kwa makini, nimesifia pia wapinzani kwa kuheshimu hilo, maana wangeweza kukinukisha na kusingekuwa na smooth transition kama Gambia leo!
wenzetu wengi baada ya uchaguzi huishi maisha magumu sana ya machafuko, tujipongezeni jamani hata kwa hili dogo!
then tuongee umuhimu wa kuwa na tume huru, wizi wa kura etc!
unfortunately hata marekani kesi za uchaguzi na malalamiko ya walioshindwa huwa sawa tu na huku!
leo kulikuwa na waandamanaji wanaopinga kuapishwa Trump kama laki 2, shida tu CNN hawakutupa coverage nzuri ya kutosha lkn waliwaonesha kwa dk kadhaa! so hilo lipo tu popote, yaani wasioridhika wapo nadhani hata mbinguni watatokea!
 
Mi siipendi fisiem wala sitaki hata kuisikia, kwahyo na mim ni mchaga? Usipende kuishi kwa kuhisi mambo. PENDA KUFANYA UTAFITI


Sijasema kwamba Watanzania wasiyoipenda CCM ni watu wa KLM kwa 100% hapana, bali sehemu kubwa zaidi ya 3/4 ya Watanzania wasioipenda CCM ni watu wa KLM, hivyo wewe utakuwa kwenye hiyo sehemu ndogo iliyobakia, yaani kama ni kwenye na ,,wengineo"!
 
Sijasema kwamba Watanzania wasiyoipenda CCM ni watu wa KLM kwa 100% hapana, bali sehemu kubwa zaidi ya 3/4 ya Watanzania wasioipenda CCM ni watu wa KLM, hivyo wewe utakuwa kwenye hiyo sehemu ndogo iliyobakia, yaani kama ni kwenye na ,,wengineo"!
Endeleeni na ubaguzi wenu tu one day mifupa ya Mangi Mkuu MAREALE ITASIMAMA NA KUDAI UHURU WA KLM. Mnatunyanyasa sana kisa KUZALIWA Mchagga? Shame on you 55 yrs ya independent tunabaguana, pumbavuuu.
 
Endeleeni na ubaguzi wenu tu one day mifupa ya Mangi Mkuu MAREALE ITASIMAMA NA KUDAI UHURU WA KLM. Mnatunyanyasa sana kisa KUZALIWA Mchagga? Shame on you 55 yrs ya independent tunabaguana, pumbavuuu.


Huo ubaguzi unaouongelea unatoka wapi? Ndiyo yale yale Waafrika huwa tuna ,,hasira sana na ghadhabu bila hata ya kutafakari", ni wapi nimembagua mtu? Kusema kwamba chadema inapendwa na watu wa KLM huo ndiyo ubaguzi? Mbona nimesema CUF kihistoria imekuwa ikipendwa na kupigiwa kura na Waislamu wasioipenda CCM, hapo napo utasema nimewabagua Waislamu? Hapana huyo siyo Ubaguzi labda kama sielewi maana ya hilo neno, huo ni ukweli kwamba hakuna mahali ambapo chadema inashinda uchaguzi na kukubalika hapa TZ kama KLM, sasa swali linalokuja Je ni Uongo? Kama ukiweza kunithibitishia kwamba nimesema Uongo na kwamba nimewasingizia unaweza kunishtumu!
 
Ni wapi nimewalaumu? Nimesema jinsi hali ilivyo na hakuna mahali nilipowalaumu, sasa kama haukubaliani na nilichokisema unaweza kunibishia lkn ukweli ni kwamba bila KLM hakuna chadema!
Acha kuwa mjinga walau dakika moja utaongea point yenye akili. Mfano tu moshi mjini na kijijini hiyo CCM yako pia ilipata kura tu upande wa Rais na Mbunge sema hazikutosha, sasa unasema vipi KLM ni Chadema yote? .. hii tabia ya kuchukia wachaga kwa mgongo wa uchadema tutaipinga vikali.. wivu tu umewajaa kwa wachaga pamoja na huyo dereva wenu wa mwendokasi...
 
Huwezi kusikia kauli za kibaguzi kama hizo US, ndio maana huwezi kufananisha TZ na US kwenye kupokezana madaraka ni sawa na Mbingu na Ardhi. Sisi bado tupo miaka 10000BC.
Angalia matokeao ya votes mbalimbali ndio utajua USA wanabaguana kuliko watz., rangi, ujimbo, asili-jews/germany/British etc,
 
Back
Top Bottom