Tanzania vs Marekani: Transition of Power

Nasi inapaswa tujisifu.
Kwa miaka 55 sasa tumekuwa na smooth transition of power ambapo marais wetu kwa Amani kabisa wamekuwa wakirithishana madaraka.
hatujawahi kuwa na Rais mng'ang'ania madaraka na hili ni jambo la mfano wa kuigwa!
tuombe Mungu utamaduni huu uendelee kudumu daima milele!
ktk hili tuwapongeze wanasiasa wote walioshinda na kushindwa urais kwa kukubali kwao matokeo na kuendelea kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano!
Hakuna western media itakayotusifia, so inabidi tujisifu wenyewe!
Mungu ibariki Tanzania....
Mungu ibariki Africa!





Acha kujitoa ufahamu,uchaguzi wa kipumbavu unaofanyika hapa nchini unawezaje kuulinganisha na ule wa Marekani?Hivi mtu unaanzaje kujiita mshindi wa uchaguzi kwa kutangazwa na tume uliyoiunda wewe mwenyewe?

Acha kuilinganisha Marekani na mambo ya kijingajinga,Tanzania haijawahi kuwa na uchaguzi wa Kidemokrasia,ni mazingaombwe tu yanayofanyika,nchi inayoendeshwa kidemokrasia haiwezi kutumia mihimili ya dola kukandamiza Raia wake huku mkuu akijiapiza kuwapoteza wote watakaompinga ndani ya dk.5

Nchi yenye kufuata misingi ya kidrmokrasia kamwe mkuu wake hawezi kuvitisha vyombo vya habari kwa kuvifungia,ni matusi makubwa sana kuilinganisha Nchi ya kusadikika(Tanzania) na nchi halisi(Marekani).Hadi pale tutakaporirudisha Taifa la Tanganyika,labda ndiyo akili zetu zitaturudia,kwa hapa tulipo ni mwendo wa push ups tu huku tukijisifu kuwa tunathibitisha uimara wa afya zetu,kumbe waliopo pembeni yetu wamebana pua zao kutokana Na hewa zinazozalishwa katika zoezi la push up.
 
Maana povu lako limeanza kulaumu wachaga kwa comments za kibaguzi baguzi tu.


Ni wapi nimewalaumu? Nimesema jinsi hali ilivyo na hakuna mahali nilipowalaumu, sasa kama haukubaliani na nilichokisema unaweza kunibishia lkn ukweli ni kwamba bila KLM hakuna chadema!
 
Ni wapi nimewalaumu? Nimesema jinsi hali ilivyo na hakuna mahali nilipowalaumu, sasa kama haukubaliani na nilichokisema unaweza kunibishia lkn ukweli ni kwamba bila KLM hakuna chadema!
Nimejibu according na comments eti wachaga ndo walimpa ushindi mnyika kuanzia ubunge na Kilimanjaro. Hivi ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu mpumbavu hivi. Na bila wajinga kushabikia ccm itaendeleza kuharibu nchi na uchumi kwa kupitia viongozi vilazer wasio na vision.
 
Ndo hivo wanafyatuana tu hamna kitu kibaya kupendwa na wasio jielewa ndo ccm hao.


Waambie waendelee tu kufwatuana kama Sungura, na Mkoa wao ulivyo mdogo sijui itakuwaje, lkn safari yao bado ndefu sana kuweza kufikia namba ya kuiingiza chadema madarakani!
 
Matokeo ya Uchaguzi ndiyo data pekee, chadema imeshinda kwa kiasi Kikubwa uchagani tu, wkt CCM Tanzania nzima, hata Dar yenyewe mahali ambapo chadema imepata kura nyingi ni pale ambapo wenyeji wengi wa KLM wanaishi kama Kimara na Kibamba!!
CUF ya temeke ni ya Mchagga???
 
Waambie waendelee tu kufwatuana kama Sungura, na Mkoa wao ulivyo mdogo sijui itakuwaje, lkn safari yao bado ndefu sana kuweza kufikia namba ya kuiingiza chadema madarakani!
Kumbe uelewa wako mdogo mkoa mdogo ndo nini sasa, umejuaje ni ndefu hajui kila jambo na wakati wake. Tatizo chadema inawaumiza ccm anafikiri kuongea ukabila ndo itawa save
 
Kumbe uelewa wako mdogo mkoa mdogo ndo nini sasa, umejuaje ni ndefu hajui kila jambo na wakati wake. Tatizo chadema inawaumiza ccm anafikiri kuongea ukabila ndo itawa save


Nafasi itakuwa haba kwa kuwa umesema wanaendelea kufwatuana!
 
Bila unafiki,hakuna mtanzania yeyote hapa nchini ama nje ya nchi anayeichukia CCM kama mimi.Hata akiwa ndg yang ni mwana ccm,kwa vile naichukia ccm hata yeye pia nitamchukia,Hata kama atagua siwezi mpa huduma maana yeye nahisi atakuwa na maisha bora kama ccm inavyo jitanabaisha.
Ukiangalia Marekani kila Rais anayetoka madarakani lazima awe amechoka mwili na wengi huonekana kuzeeka,hii ni tofauti na hapa kwetu ambapo wa kwetu huonekana kunawili na kuwa kama vijana
hauko makini then!
unawezaje kuchukia kila kitu cha ccm!
unawezaje kumchukia mtu anayependa ccm, ni issues za choice na understanding, kama mtu hakuchagua unachochagua wewe au kupenda unachopenda wewe solution yake ni kumchukia?
weak mind, ni simple kuchukia kuliko ku-resonate na ukweli! acceptance inahitaji strong mind na kwa kuwa ni difficult option kukubali defeat only strong people huwa na courage ya kukubali kutofautiana bila ya mikwaruzano!
yeyote anayegombana na kumchukia mpinzani wake hata baada ya kushindwa ujue ni dhaifu!
 
Nafasi itakuwa haba kwa kuwa umesema wanaendelea kufwatuana!
Dunia ya sasa under globalization ni mambo ya free movements ndo maana wametapakaa nchi nzima na nje. Sasa dhana yako ya mkoa mdogo ni mawazo yako finyu hafu wajidai mtetezi wa magu mbona aibu tupu
 
Kwa kiasi fulani naweza kusema ndiyo, kwani Wabunge wa Upinzani wengi wameshinda Mijini na huko ndiko watu wa KLM walikojaa, angalia Kimara na Kibamba huko kashinda Mnyika, ngoja nikuulize unafikiri ilikuwa ni bahati mbaya Mnyika kwenda kugombea Kimara na Kibamba badala ya Ubungo?
we jamaa una ugonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom