NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 23,998
Wamuingize aina ya mchezaji kama Mugalu akakabe mabeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anajitahidi sanaSamatta sharobaro sana
Haki yake kusharobaroka,anakibarua uko ulaya akiumia serikali itamtumbukiza kwenye mashine ya kujifukiza matibabu awatompa.Samatta sharobaro sana
Tumepoteza nafasi nzuri tu hile lakini hawa jamaa wanafungika.Hatuwabezi, ni kwamba hatuna uwezo.
Samatta kajitahidi sana kucheza.Samatta sharobaro sana
John Boko ni mzigoTanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group.
The sides are level on points and goal difference ahead of their double-header this week, with Tanzania set to travel to Benin on Sunday.
Another game of Group J is DR Congo vs Madagascar.
Uvunjwe mguu kwa timu ipi inayoenda worldcup bwana wewe...msichezee kulipwa euro bwanaSamatta sharobaro sana
Benin tunalingana point, kwahyo wakitoa draw hapa kwetu ni faida kwaoNaona kama hatuko serious na hii game au ndo game plan
Yaaa sure mkuuShida kubwa Tanzania hakuna playmakers kama Chama/de Bruyne, ni vigumu sana kutengeneza high quality chances kama huna wachezaji wabunifu kwenye midfield.
mi nachek online na Azam MaxOnline tunaangalia vipi