Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

monta

JF-Expert Member
May 6, 2014
940
1,000
Jamaa aliyefunga ni striker
anatwa Steve Mounie anacheza Brest ligi kuu ya Ufaransa na kina PSG,,amewahi pia chezea Huddersfield ya England bila kusahau Nimes na Montpellier zote za France,,ni bonge striker hacheki na kima kama ndugu zetu wanaopoteza nafasi za hovyohovyo tu saizi wanajilaumu
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
6,209
2,000
Safari ndio imekwisha hata kabla haijaanza ?

Well tuanze kujipanga kwa nyingine baada ya 2022
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom