Tanzania Vs Algeria;Mpira bila SIMBA YANGA inawezekana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Vs Algeria;Mpira bila SIMBA YANGA inawezekana!

Discussion in 'Sports' started by Kizimkazimkuu, Sep 8, 2010.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ukiachilia mbali kuwa matokeo ya suluhu dhidi ya Ageria mchezo uliofanyika Ijumaa katika mjia wa BILDA, Algeria utaacha kumbukumbu nyingine ambayo pengine itachukua kipindi kirefu kufutika. Kikosi chote kilichocheza mchezo huo hakikumuhusisha hata mchezaji mmoja wa SIMBA SC jambo ambalo wafuatiliaji wa soka wanaeleza liliwahi kutokea mwaka 1990 katika michuano ya challenge! Kikosi kilichocheza Bilda kilikuwa hivi: Kado (Mtibwa). Mwasika(Azam), Jabir Idrisa (sofapaka),Nsajigwa (Yanga), Cannavaro (Yanga), Abdi/Babi(Yanga),Agrey Morris (Azam), Ngassa(Azam), Mrwanda(Vietnam), Henry Joseph (Sweden) Nizar(Canada). Mshambuliaji wa Simba Mgosi na Beki Kanoni hawakuwepo hata katika orodha iliyokuwa Benchi. Source: Mwanaspoti Jumanne, 7th Sept, 2010

  Kwa muda mrefu washabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakiamini kuwa bila wachezaji wa vilabu hivyo vikubwa mpira hautachezwa..na makocha wengi wameingia matatizo kwa kuwaacha wachezaji fulani vipenzi wa Timu hizo. Mhanga wa mwisho alikuwa ni Maximo ambaye ameondoka akibebeshwa lkawama kwa kuwaacha Chuji, Kaseja na Boban wa Msimbazi. Jan Poulsen ametufungulia ukurasa mpya tumpe nafasi.........
   
 2. S

  SAMIR New Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe kaka kwamba na hili liweze kufuta imani ya wachezaji wengi ili waonekane wao ni wakali nia lazima wachezee simba au yanga kitu ambacho si kweli hizo ni klabu kama nyingine tu.
   
 3. J

  Jafar JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Too early to celebrate /comment.
   
 4. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mkuu,sisi (hasa Simba),hatuangalii nani alicheza na nani hakucheza,tunajali matokeo tu yakiwa mazuri tunafurahi, yakiwa mabaya tutanuna tu.Hii mambo ya kuangalia mchezaji anatoka timu ipi,imepitwa na wakati sasa tusitafute sababu ya kuanza kumpiga mawe kocha.Tulishawahi kumpiga huyohuyo Algeria 2-1 pale Shamba la bibi na mchezaji ambaye hakuwa wa Simba aliyecheza alikuwa Edibily pekee 1-11 nzima,hiyohiyo timu ikaibutua the cranes 4-1,smbuse juzi ambapo Mrwanda na Henry Joseph walikuwepo!!!!!
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Hivi Mrwanda na Henry Joseph bado wanachezea simba tu!!
  Basi na Nonda Shaaban bado ni wa Yanga!!
   
 6. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mbona ndo tunayoambiwa!! Nonda ni wa Yanga bana!,Ila hachezei Stars, wakitaka wamuhesabu kama DRC inacheza....
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280

  kabla ya KUENDELEA WATAKE RADHI MASHABIKI WA YANGA KWA UJUMLA

  ),Nsajigwa (Yanga), Cannavaro (Yanga), Abdi/Babi(Yanga),

  HAWA WAMETOKEA PAMBA YA MWANZA????ELSE FUTA KICHWA CHAKO CHA HABARI AMA REKEBISHA TUENDELEE BADALA YA KUDANGANYA JAMIII...YANGA SIO SIMBA KIJANA
   
 8. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  MMhhh......!!!! Mbona umekuwa mkali Sam? Hudhani kuwa mwenzetu kawaona hata hao wa Yanga ni wachache kuliko tulivyozoea? Hukumsikia kocha wa Azam alivyosema? (Ulikuwa bado hujarudi)
   
Loading...