Tanzania Vision 2025 vs Kenya Vision 2030: Mizengo Pinda upo?

Labda wewe ndio Umerogwa...

Kwanini unacompare Tanzania na Kenya kimaendeleo? Tuko Tofauti kabisa; Maendeleo yetu hayafanani na ya Kenya

Wao wanafuata one Belt only hawawezi kuendeleza North sababu ni Desert; Sisi tuna paswa kuendeleza kila kona hatuna Matatizo kama ya Kenya watu wanaishi kwenye ghetto nje ya Nairobi sisi watu wetu wana Ardhi hatuna ghetto's

SO DON'T COMPARE THEM TWO NATIONS as we wrongly state that "In an underdeveloped country don't drink the water. In a developed country don't breathe the air."
 
Watanzania hawana sababu ya kujilinganisha na masikini, ukifikia lengo la kuona upeo wako ni Kenya basi ujue umefilisika kwa kila hali. Watanzania wapo katika level nyingine na katu hawawezi kujilinganisha na manyang'au. Tunajaribu kuwafikia wale walio kwenye the real 21st century.
 
404414_10150587190258800_47572703799_9451183_1333886944_n.jpg

vs

photo_617.jpg
 
Ulisoma Historia ya kuvunjika kwa East African Community? Kenya walimasure kila kutu kiko kwao Ndege, Meli n.k
Kwahiyo Community Ilipovunjika wakaanzisha Shirika la Ndege na Pesa Za Tanzania na Uganda Umeona walivyo na Unyama? Jifunze Uwaelewe... Inaonyesha wewe ni kijana wa 90's Soma Historia Uone ...
 
ulisoma historia ya kuvunjika kwa east african community? Kenya walimasure kila kutu kiko kwao ndege, meli n.k
kwahiyo community ilipovunjika wakaanzisha shirika la ndege na pesa za tanzania na uganda umeona walivyo na unyama? Jifunze uwaelewe... Inaonyesha wewe ni kijana wa 90's soma historia uone ...

mwanzoni mbaya wetu alikuwa mkoloni

then akawa mkenya baada ya eac

then akawa nyerere

then sababu zikaisha

sasa tumeanza ku recycle the blame game

hongereni watu wa vision 2015
 
Tanzanians we must wake up and make good use of our votes.

haya malumbano hayatakuwepo
 
Zile ahadi 90 plus za bwana Vasco Da Gama zimefikia wapi?si aulizwe maana muda waenda!!!meli kila ziwa,reli ya kwenda kasi hadi kigoma na mwanza ........na mengineyo mengi tu
 
Duh! Yaani watu wanasema TZ hakuna ghettos?! Watu wana ardhi?!

Wakuu Wacha na Nngoo7,Kenya wametuzidi kwa kila kitu,labda porojo na usanii ndiyo tumewazidi. Sasa ukisema shirika lao la ndege lina mafanikio kutokana na wao kututapeli ndege za EAC,sisi tulikuwa wapi kudai chetu? Siyo kuzidiwa ujanja hapo?

Kenya haipigi porojo kama sisi wao wanafanya kwa vitendo. Wakenya wanajitambua kuliko sisi waTZ,ndiyo maana waliweza kuipiga chini KANU kwa katiba yao ya zamani! Na ndiyo maana sasa wana katiba yao mpya ya wananchi (hata kama kuna kusuasua katika kuitekeleza).
Bunge la Kenya halina mzaha kama letu. Kwao viongozi wa umma wakiboronga,hakuna cha mswalia mtume,ni kujiuzulu tu. Hapa kwetu viongozi wanaboronga na kubofya lakini bado wapo ofisini tu na bunge pamoja na sisi wananchi tupo tupo tu kama ZOMBIES.

Wakuu,ingawa Kenya bado ni nchi inayoendelea,iko maili nyingi mbele ya Tanzania. Mengineyo yatakua porojo kama kawaida yetu.
 
Watanzania hawana sababu ya kujilinganisha na masikini, ukifikia lengo la kuona upeo wako ni Kenya basi ujue umefilisika kwa kila hali. Watanzania wapo katika level nyingine na katu hawawezi kujilinganisha na manyang'au. Tunajaribu kuwafikia wale walio kwenye the real 21st century.

Kweli hatuwezi kulinganishwa na Kenya. Kwa sababu wakati sisi tukijaribu kuwafikia walio kwenye real 21st century,Kenya wao wanafanya kweli na wala si majaribio. Jana wamelaunch Lamu Port Project kwa ushirikiano na South Sudan na Ethiopia. Mradi wenye thamani ya Ksh. 2.4 trillion! Mradi uliopangwa kutoka mwaka 1979.
Sisi uwanja wa ndege kule Mbeya hadi leo usanii tu! Reli na ndege ndiyo hivyo tena,zipo kwa ushahidi wa kuonekana zipo. Wenzetu KQ ipo katika Star Alliance. AGOA wanafanya kweli. Remittances wanafanya kweli.
Hayo yote siye tunapiga makitaimu tu!
 
Duh! Yaani watu wanasema TZ hakuna ghettos?! Watu wana ardhi?!

Wakuu Wacha na Nngoo7,Kenya wametuzidi kwa kila kitu,labda porojo na usanii ndiyo tumewazidi. Sasa ukisema shirika lao la ndege lina mafanikio kutokana na wao kututapeli ndege za EAC,sisi tulikuwa wapi kudai chetu? Siyo kuzidiwa ujanja hapo?

Kenya haipigi porojo kama sisi wao wanafanya kwa vitendo. Wakenya wanajitambua kuliko sisi waTZ,ndiyo maana waliweza kuipiga chini KANU kwa katiba yao ya zamani! Na ndiyo maana sasa wana katiba yao mpya ya wananchi (hata kama kuna kusuasua katika kuitekeleza).
Bunge la Kenya halina mzaha kama letu. Kwao viongozi wa umma wakiboronga,hakuna cha mswalia mtume,ni kujiuzulu tu. Hapa kwetu viongozi wanaboronga na kubofya lakini bado wapo ofisini tu na bunge pamoja na sisi wananchi tupo tupo tu kama ZOMBIES.

Wakuu,ingawa Kenya bado ni nchi inayoendelea,iko maili nyingi mbele ya Tanzania. Mengineyo yatakua porojo kama kawaida yetu.

Mkuu umenena yote sina la kuongeza !
 
Tunaweza kusema mengi sana kuhusu haya mambo lakini muhimu ni ile will power ya kuyatekeleza maazimio. Other things set apart, sioni ile nia halisi ya kutekeleza maazimio ya Watz hata kama Tz's vision 2025 inaonekana kutokuwa nzuri. Hatuwezi kuifikia kwa kiwango kinachoridhisha. Wake up Tz ts time to walk your talks!!!!
 
Remember the nursery rhyme?

Tinker Tailor

Soldier Sailor

Richman Poorman

Beggerman Thief!

Sadly we elected Beggers and thiefs.
 
Watanzania hawana sababu ya kujilinganisha na masikini, ukifikia lengo la kuona upeo wako ni Kenya basi ujue umefilisika kwa kila hali. Watanzania wapo katika level nyingine na katu hawawezi kujilinganisha na manyang'au. Tunajaribu kuwafikia wale walio kwenye the real 21st century.
Acha kujifariji ndugu, wenzio waKenya wanawekeza sana kwenye miundombinu kwa sasa huku sisi tumelala. Hebu cheki ule mradi wamezindua jana wa Bandari wa Euro Bil 30, juzi tu hapa walizindua SUPER HIGHWAY ya Nairibi to Thika njia 10. Sisi hapa ni kujisifu kuwa nchi yenye mali nyingi lakini hatuna viongozi wenye mtazamo wa Maendeleo ya kisasa.
Watanzania tujenge mazoea ya kusafiri kwenda nchi za wenzenu mjionee watu wanavyochapa kazi na kuwekeza kwenye uchumi na sio kuwekeza kwenye posho wakati wajenzi wa barabara hawajalipwa madai yao na serikali toka 2010.
 
Kuna wanayotuzidi na sisi yapo tunayowazidi. Uchumi wa Kenya uko vizuri kwa serikali lakini kwa wananchi wa kawaida ni hoi. Pengine mnaoshadadia hamjawahi kwenda ndani vijijini, watu wana shida ati! Tatizo la kwetu ni uongozi uliokosa maono wa Vasco da Gama vinevyo tungekuwa mbali kwa kutumia raslimali kibao tulizo nazo. Coming 2015 tunatakiwa kuchukua hatua!
 
Acha kujifariji ndugu, wenzio waKenya wanawekeza sana kwenye miundombinu kwa sasa huku sisi tumelala. Hebu cheki ule mradi wamezindua jana wa Bandari wa Euro Bil 30, juzi tu hapa walizindua SUPER HIGHWAY ya Nairibi to Thika njia 10. Sisi hapa ni kujisifu kuwa nchi yenye mali nyingi lakini hatuna viongozi wenye mtazamo wa Maendeleo ya kisasa.
Watanzania tujenge mazoea ya kusafiri kwenda nchi za wenzenu mjionee watu wanavyochapa kazi na kuwekeza kwenye uchumi na sio kuwekeza kwenye posho wakati wajenzi wa barabara hawajalipwa madai yao na serikali toka 2010.

Unasema najifariji ili iwe nini? Kwani ulipoona wanazindua ndio ukafikiri ni maendeleo yaliyotukuta? Uchumi wa Kenya yote umekamatwa na wageni na asilimia kubwa ni Waingereza, wakenya wachache wezi kama kina Moi, familia ya Kenyata et al ndio wamejilimbikizia mali. Hivi unafikiri kwa nini wanalilia sana EAF, ni pale wanapotaka kukukamua kama muwa kwa kupitia mabosi wao wa kigeni. Kenya wanakamuliwa hivyo na sasa wale wawekezaji ambao wengi ndio kutoka UK soko limekuwa dogo hivyo wanapanua wigo na kuingiza vitu na biashara zao Tanzania. Wengi wanaojitia kimbelembele ni kama kina EL et al huku kwetu.

Soko lao kubwa la utalii liko hatarini kama sisi tutaamua kuwa makini kwenye vivutio vyetu, subiri tutakapowaondoa makahaba na kushika usukani wa hii nchi hapo ndipo utakapotambua Watanzania ni watu wa namna gani. Sina shaka yoyote kuna nchi nyingi tu miaka kumi iliyopita zilikuwa zinachekwa kama vile China, Botswana etc. leo hii zipo wapi? (BTW have you been there before and after?) Its all about playing your cards right near to your chest, at the present moment our player is showing our cards to the opponents.

Unaongelea maswala ya kutembea wewe umetembelea Kenya tu unapiga kelele hivi ungefika Alaska ungesema nini? Au kama ungefahamu kwamba kuwa na national airline kunaongeza GDP kwa 30% ingekuwaje?

Kama Kenya ingekuwa bora wasingekimbilia kuja kuishi Tanzania na wale wanaojifanya ni Kenyan co. kuwekeza Tanzania ni ulongo wengi ni raia wa UK ambao wana dual citizen utakuta ni kina Moi, Kenyatans et el wanatumiwa na makuwadi wao.
 
My fellow Tanzanians to stand still is to lose, to move is to gain, to change is to grow.
Tuacheni propaganda tuunganishe nguvu za upeo wetu tujenge nchi. Kumbe ndo maana kule Bungeni mawaziri wanatumia references kila siku kujustfy uozo wao wa kuuza nchi. Programs only give a disciplined approach. They only give improvement to some plateau. We are a work in progress but we have the resolve to go forward. Walichopanga kukamilisha by 2025 ni benchmark tu kama tusipokomaa hayo mambo yatabaki kwenye makarabrasha. Na Tanzania siye ni mabigwa wa Upembuzi yakinifu na Mchakato and we never accomplish our mission and vision.
 
Hapo kuna vitu viwili tofauti:
1.Vision
2.Plan na programu

Kenya wamejaribu kutoa kwa ufupi plan yao kulingana na vision, lakini Tanzania wametoa doc yenye vision kwa ujumla lakini malengo kama hayo utayapata kwenye national plan na development programu ambazo wizara mbalimbali zilikuwa zinaandaa, sina uhakika zimefikia wapi ila ya miaka mitano mitano utaipata ambazo zinatekeleza hiyo vision.

Hata hivyo, kuna vitu ambazo nchi kama nchi imeshaanza kutekeleza kama suala la special economic zone, miji ya kitalii na kibiashara ipo kwenye plan labda utekelezaji tu unatakiwa kuanza.

Hiyo doc ni jinsi ya kuiwasilisha tu. Inaaminika vitu vingi wabongo tunavianzisha katika maandishi na vinakubalika sana na wenzetu wajanja wanakopy na kuanza kuvifanyia kazi. Hivyo, basi hakuna jipya ambalo wakenya wameliandika hapo ambalo halipo katika plan na development programme zetu.
 
Back
Top Bottom