Tanzania Vilaza:- Govt to tame inflation down to 5 pct next year

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,485
19,318
Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo has said that inflation will drop to 8 per cent by the end of this month and is expected to go further down to 5 per cent by June next year.

The minister said this yesterday when tabling in Parliament the Report on the country's 2009/2010 Economic Outlook and Projections for the period between 2010/2011 and 2012/2013.

He said the government will strengthen its economic growth strategies with more efforts being directed to control inflation. He stressed that inflation control was important for community development.

At 9.4 per cent, Tanzania is currently at the top in the East African region with the highest inflation rate.

Recent statistics show that by end of March this year Rwanda had an inflation of 2.05 per cent, while Kenya had 3.7 per cent, Burundi 5.6 per cent, Uganda 5.9 per cent and Tanzania 9.4 per cent.

He said the country's income will grow by 7 per cent in 2010, 7.1 per cent in 2011, 7.4 per cent in 2012 and 7.8 per cent in 2013. He said that domestic revenue is expected to record a slight increase from 17.3 per cent in 2010/2011 to 17.4 per cent in 2011/2012.

Mkulo said that more concentration will also be put in improving the business and investment environment in the country. He said that according to the 2009 World Bank report; the costs of doing business in Tanzania are high, adding that the report ranks Tanzania at the position of 131 out of 186 countries.

He mentioned other areas the government intends to improve in order to quicken economic growth as implementation of ‘Kilimo Kwanza' to ensure food security and reduce interest rates.

"Our target is to increase investment in priority sectors including agriculture, infrastructure, industries, land and energy. More emphasis will be put on the public private partnership," the minister added.

He said that this year the government will also have as its priority , agriculture, energy, infrastructure, industry and financial sectors.


On infrastructure, the minister said that the government will put more emphasis on rehabilitation of roads and railway networks, constuct more Inland Container Depots (ICDs) in order to decongest the Dar es Salaam port while looking into ways of reducing traffic jam in the city.

He said that the government is planning to build a new port and upgrade the existing ones in order to bring about efficiency in handling internal and transit goods.


He said the government will also build capacity in electricity generation and enhance the availability and use of natural gas. The government will further continue with its rural electrification programme, he added.

On industries, the minister pledged support for industries that use local resources, adding that the government will develop special economic zones, while in the financial sector the government will establish a bank for agriculture in order to strengthen the investment bank and the women's bank. It will also implement and promote financial lease, he concluded.


Hapa sijaona jambo lolote linaloonekana tofauto na bajeti za siku za nyuma. Hotuba ina ahadi bila kuonyesha ahadi hizo zitatekelezwa vipi. Matumizi ya maneno kama "...government is planning....,""... governement pldeges support...", "....is expected...", na kadhalika yanaonyesha jinsi gani serikali isivyojua la kufanya.

In particular, ahadi hii "
He said that this year the government will also have as its priority , agriculture, energy, infrastructure, industry and financial sectors." ni fuzzy sana na imekuwa inarudiwa kila mwaka tangu mwaka 1964 na Abdulrahman Babu alipotangaza Mpango wa Maendeleo ya Miaka Mitano. Ni tamko ambalo hapo mwazoni lilifanyiwa kazi tukapata kiwanda cha zana za Kilimo UFI, tukapata mabwawa ya umeme ya Nyumba ya Mungu, Pangani, na Kidatu, tukajenga barabara ya Dar-es Salaam-Lusaka, Dar es Salaam-Arusha, tukajenga viwanda mbalimbali nchi nzima, na kutoa ardhi kwa wananchi wote walime. Unfortunately baada ya mwaka 1977, hakuna kilichoendelea tena baada ya hapo.

Ujenzi wa barabara uliofufuliwa na Mkapa nadhani kwa nia njema, umekuwa kama mradi wa mwendawazimu ambao umeendeshwa bila kutumia akili, na matokeo yake investment yote ile imetumika hovyohovyo. Huenda kwa vile hatukuzowea barabara nzuri, basi serikali inaona ni sawa tu ikitujengea barabara mbovu, ili mradi zimewekwa lami.

Kwa jumla sikubalina na ahadi hiyo iliyosema "
He said that this year the government will also have as its priority , agriculture, energy, infrastructure, industry and financial sectors." kwa sababu siyo ngeni masikioni mwa watanzania.
 
Prof................hujui kuwa bajeti yetu ni business as usual...........
 
Prof................hujui kuwa bajeti yetu ni business as usual...........

Ndiyo maana Tanzania tunataka mageuzi ya uongozi. Wananchi wa nchi zote jirani zilizotajwa na Waziri zimeshafanya mageuzi mengi ya uongozi, mengine yakiwa ni ya kumwaga damu.

Tanzania hatujawahi kufanya mageuzi ya yoyote ya uongozi tangu tupate uhuru, ndiyo maana leo tunalipa kwa kupewa upuuzi huu.
 
Mkuu Kichuguu,

Haya ndiyo tulikuwa tunajadili jana. Wengine tulimsifu sana Kagame na ubabe wake. Hebu angalia hizo figure za Rwanda.

Sisi tuna demokrasi lakini tunaporomoka chini utafikiri Train kutoka Tabora linaingia Station ya Saranda.

Heri wachache wateseke na ambition zao za kisiasa ila wengi wafaidike.

Heri yao akina Rostam na Lowassa. Wakijitahidi sana, wataingia kwenye listi ya matajiri wa Africa.

Huko watakuwa wanashindana na akina Moddy Mo. Kila la kheri Mafisadi na Mafisadi watoto.
 
Si tulishaahidiwa kuwa "dege la uchumi linapaa?". Mnajua matatizo au huku kuongopewa huwa tunajitakia wenyewe, kwani ni lini watu wa jimbo fulani weshahoji mbunge wao na hizo blah blah, za kila bajeti, mika nenda rudi?

Maneno kama haya ambayo kwa kiasi kikubwa hayamaanishi kitu chochote yalisikika bungeni na hao wabunge tulowachagua wakaipigia makofi hiyo bajeti! yataendelea kurudiwa na kurudiwa tena, na tena na tena, mpaka sisi wapiga kura tutakapowaambia jamani sasa basi. Na tukatae kupakwa mafuta kwa migongo ya chupa tu.
 
Back
Top Bottom