Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,168
2,000
Kaka mali ya Mtanzania ni ya Mtanzania! Kama hapa Zenji tu Wabara haturuhusiwi kujenga iweje turuhusu wakenya waje kujenga Tz na population yetu inapanda kwa kasi namna hii??
Huko Uhamiaji nlitaka kujua kama sheria za uhamiaji zinaruhusu Mkenya kumiliki Ardhi ya Tanzania au la? Maana hata katika nafasi za ajira zinazotangazwa na serikali huwa kuna kigezo kuwa muombaji awe raia wa Tanzania, wewe bado hujaona hata ardhi tulitakiwa kuweka kigezo???
Wewe na kushauri jikute kutafuta vya kwako achana na propaganda za wana siasa na viongozi wetu wana tulaghai tu ili tuone kama tuna miliki nchi yetu, achana na cha kumiliki aridhi ananunua kwa pesa yake, unajua tuna wa bunge na viongozi wengi amboa sio watznia ila wanesaidia hi nchi kuliko watazania wazawa, na serikali inawajua vizuri na inawatumia, wewe pambana na familia tu mengine acha yapite, utakufa kwa msukumo wa damu bure.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom