Tanzania: U.S. Tycoon to Finance New Serengeti Airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: U.S. Tycoon to Finance New Serengeti Airport

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Aug 15, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Serengeti — AN American tycoon, Mr. Paul Tudor Jones, has agreed to spend millions to finance the construction of an international airport in Serengeti district, Mara Region.
  "Mr Jones has agreed and he has written to us a letter accepting to finance construction of the airport," Serengeti District Council Chairman, Mr John Ng'oina confirmed to this paper.
  Mr Ng'oina had assured a full council meeting here on Friday that the American investor has agreed to finance construction of the much awaited airport that will transform Mugumu town in Serengeti to a tourist hub.
  "We are now waiting completion of the master plan and the go ahead from the Ministry of Transport. After the construction, the airport will be handed over to Serengeti District Council", Mr Ng'oina said. He, however, did not disclose how much exactly the project will cost and what the tycoon intends to spend in implementing the same.
  Mawala Trust Fund of Arusha has also agreed to assist in supporting preparation of the master plan, according to him. Construction of the airport will enable thousands of foreign tourists visiting Serengeti National Park to fly direct to Mugumu and later use vehicles to enter the park which is blessed with beautiful fauna and flora.
  The project will play a significant role to boost revenues for the Serengeti District Council upon its completion, according to Serengeti officials. Mr Ng'oina challenged local investors, including Serengeti based business community, to start investing heavily on hospitality industry by setting up tourist lodges, among other things.
  "We need top class hotels that will meet the demand of expected tourists who will be landing in Mugumu and our farmers should also strive to produce high quality products," he added. Many families and a public primary school had been relocated to pave way for the construction of the airport at Kyambahi ward a few kilometres from Mugumu town. Compensation money was also paid by the US investor a few years ago.
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mi nashindwa kuelewa, mikoa kama hiyo ina mining sector, badala ya kuweka sera za kujenga vitu vitakavyoishi muda mrefu, wanawaruhusu jamaa wanajenga airport zao ndani ya migodi tu basi.

  Ukienda Shinyanga, airport imechoka mbaya pamoja na rasilimali za kutosha which is bullshit.

  Serengeti inaingiza pato kubwa kwa mwaka, kwa nini wasubiri tycoon lijitolee kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa?
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Hakuna Free lunch, huyu jamaa huo uwanja ni wa kusafirishia TWIGA NA MADINI, NA KUMBUKENI HUYU MTU AMEPEWA KIPANDE CHA HIFADHI KWA MUDA WA MIAKA 99, na mpka sasa hata miaka 8 haija isha,

  Tunajengewa uwanja madini na wanyama wanatoroshwa kama kawa
   
 4. masatujr1985

  masatujr1985 JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 1,933
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Wazee wetu walipambana kuwazuia wazungu wasitutawale sisi tunawakaribisha na kuyakimbia ama kuwauzia maeneo yetu ambayo wao waliyapigania mpaka tone la mwisho la damu zao...............shame on us Danganyikas
  I wish ningezaliwa enzi zao na si leo hii ninapoongozwa na watu wenye vichwa vya NAZI
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Akijenga huo uwanja in return sisi tunampa nini?
   
 6. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mbona NAPE hilo asemi wanajenga uwanja wa ndege tunawalipa nini?
   
 7. M

  Made aw kubofya Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao Mawalla wanaongoza kuuza mbuga zetu kwa wageni
   
 8. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  madini na wanyama wetu
   
 9. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  katika nchi kama yetu ambayo, waafrika ni maskini na wageni ni matajiri,kuna uwezekano mkubwa kama mwafrika akiruhusiwa kuuza ardhi, katika miaka ijayo ardhi yote ya tanganyika itamilikiwa na matajiri wageni na wenyeji watakua watwana. lakini hata kama wageni wasingekua matajiri, litaibuka tabaka la watanganyika wajanja. tukiruhusu ardhi iuzwe kama kanzu, katika mda mchache kutakua na kundi dogo la waafrika wakiwa ardhi na walio wengi watakua watwana. mwalimu julius k. nyerere 1958
   
 10. mito

  mito JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,635
  Likes Received: 2,021
  Trophy Points: 280
  Huyu si ndo mmiliki wa grumeti au nimechapia? anajifanya anasaidia wakati kumbe anaimarisha business zake, kweli mwenye pesa ataendelea tu kuburuza maskini
   
 11. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hUYU NI MKRISTO NA MZUNGU SO KUTOKANA NA MENTALITY ZA WATU WA JF HILI HALINA TAABU
   
 12. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  As usual, we are happy and excited on the FREE airport! Akimaliza KUTUJENGEA akaanza kuhamisha wanyama hai na madini tusilielie; tunawaita wenyewe watufanyie mchezo mbaua!
   
Loading...