Tanzania tuwe makini sana na Wachina katika Uwekezaji

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Bila shaka dunia itakuwa imebaki mdomo wazi kwa kile kinachoendela Zimbabwe!
Imedhihirika kwamba kwa mageuzi yanayoendelea nchini Zimbabwe yamepangwa kwa mkakati wa hali ya juu na Veterans wa Kivita kwa kuwatumia Wachina ambao ni wawekezaji wakubwa ndani ya Zimbabwe.

China imewekeza mamilioni ya Dollars kwenye migodi ya Almasi, Platnum, Shaba ma madini mengineo. Lakini pia Wachina wakijihusisha na ujenzi wa marosheni na majengo mengine muhimu ya Kiserikali kama Bunge,Vyuo vya Kijeshi n.k Hivo kama Wachina wanaona utawala unataka kubadilika na kutishia(threaten)mipango yao ya uwekezaji basi wako tayari kufanya lolote/chochote kuzuia kidudu mtu atakayevuruga miradi yao....!

Kwa hiki kinachoendelea Zimbabwe ni dhahiri kwamba China imeanza kukunjua makucha yake ili kujitengenezea makoloni yake Afrika hasa yenye utajiri mkubwa wa MADINI, MAFUTA na GASILIA. Kwa mazingira hayo Tanzania hatuko salama sana kama tunavyofikri. Tayari tuna Wachina kwenye Bomba la Gasilia Mtwara na Watz hatujaona faida ya mradi huo wa mabilioni ya Fedha za Watanzania.....!! Tayari utawala wa awamu hii ya 5 umeanza kuvutana na Wachina kwenye miradi fulani fulani na kunyimwa nafasi hizo. Hivi karibuni Wachina waliojenga Reli ya Uhuru(TAZARA) kwa maksudi wamenyima ujenzi wa Reli(SGR) bila za sababu za msingi......!! Je, serikali inaweza kufikri Wachina wamefurahishwa na jambo hilo....!!Jibu ni NO.....!!

JPM and his CCM party have to watch out......!!!Wachina siyo watu wa mchezomchezo.....!
 
Mimi mpitanjia tu mkuuu naelekea ng'ambo alisemaga kikwete inchi ikibana nenda chimbo
 
Sio wamagharibi hao wanosema hivyo ? Mañana likiwashinda wao basi wanatafuta wabaya wao kwa sasa (UK kila siku anasema anaingiliwa kimawasiliano na urusi, ili kuepusha watu kuhoji brexit, kule marekani bado wanalo dude Lao na mrusi, sasa hili wamefanya China?), Sikatai kuwa usitie mayai yako yooote kwenye kikapu kimoja, ila wao wanaendelea kupanga mapinduzi kila uchao, mpaka Watanzania wakapeleka jeshi kule Komoro ndo pametulia mpaka sasa hamna mapinduzi, hata Seychelles (ushelisheli) nako waliwahi kupelekwa JWTZ ili kuhakikisha usamala kwani mfaransa alikuwa akitia mikono sana tena bila ya aibu .....
 
Back
Top Bottom