Tanzania tuwe makini na Rais Paul Kagame, siyo mtu wa kuaminika

mizigo ya Rwanda unafikiri ni mingi kiasi hicho? mingi ni ya Congo, Zambia, malawi, Burundi. Rwanda mingine anapitishia kenya. tunatakiwa pia kutafuta alternative ya mizigo inayoenda eastern congo ili isipite kabisa Rwanda au ipite Rwanda kwa alternative, tutafute namna ipitie burundi au ikatishie kwa meli ziwa Tanganyia. hi i ni kwasababu ugomvi ulipotokea kipindi cha Jk walitupandishia tozo za mizigo inayotoka tz, pia, kipindi hiki cha covid wamenyanyasa sana madereva wetu, na tunatakiwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu ili akituona njiani atuheshimu.
Wakubwa mpaka sasa hawataki kuamini kuwa Ziwa Tanganyika linaweza kuleta pato kubwa katika Taifa.
Upande wa magharibi ya nchi pamesaulika,na fursa nyingi tumemuachia nchi jirani.

Ushauri:

1.Waziri wa Biashara na uwekezaji afungue ofisi Kigoma,na aende Ufaransa ,Uswisi na Ubeligiji na China awafuate wawekezaji na wafanyabiashara watakao wekeza biashara na viwanda Kigoma kwa ajili ya kuhudumia nchi za Maziwa Makuu(DRC,Burundi,Rwanda na zinginezo upande wa Magharibi ya Tanzania.

2.Waziri wa Fedha aende akafungue Kigoma ofisi ya Benki Kuu ili tununue dhahabu na kurahisisha ubadilishaji wa fedha kwa wafanyabiashara wa nchi jirani kwa upande wa magharibi ya Tanzania.
3.Waziri wa Kilimo aende Kigoma afungue Chuo/Taasisi ya utafiti wa Kilimo,tulime mazao aina mbalimbali kibiashara na chakula yanayoweza kustawi katika ukanda wa Maghatibi ili tuuze nchi jirani upande wa Maziwa Makuu.
4.Waziri wa Uchukuzi aende Kigoma,akakikishe kunakuwa na miundo mbinu inayoweza kutumika kufungua fursa upande wa Magharibi ya nchi.mfano uwanja wa ndege Kigoma uwe wa Kimataifa ili kupunguza safari ya mtu aendae Kinshasa,Lumbumbashi hata Afrika ya Kati.
5.Kwa ujumla kila sekta iende ikafungue fursa upande wa Magharibi ya nchi ili kuongeza ukuaji wa uchumi na biashara na hatimaye kuongeza pato la Taifa kwa upande wa Magharibi ya nchi sawa na Mikoa mingine iliyo katika kanda zingine.
6.Ni suala la Viongozi walio na maamuzi kuamua "Kuharakisha Ukuaji uchumi,biashara na fursa" ili kuongeza ajira na pato la Taifa!
 
Hizi ni propaganda za wanyarwanda walio zamia Tanzania Rwanda hajawahi kua rafiki wa Tanzania hata siku moja anijipendekeza kwa Tz kwasabb kasha vuruga mahusiano na Uganda. Na m7 haiko tayari kumbembeleza PK, kabla m7 haja achia nchi yake. lazima amuondowe madarakani PK, wale wana mahusiono ya ndani kuliko unovo dhani wanajuana wote ni watsi PK kasaliti Watusi wezie ndo maana hajamini, hata pinduliwa tu ni suala la mda.
Hahah Propaganda hapo ziko wapi?

Kwamba Tz inafanya biashara kubwa/export na Rwanda kuliko nchi yoyote ile ya E/Africa?Kwamba mizigo ya Rwanda kwa 90% inapitia Tz?Kwamba Uganda wamepigwa Pini hawauzi bidhaa zao Rwanda,?Hahah weka facts zako hapa.

kwamba M7 anaweza akamuondoa madarakani PK?Huyu huyu M7 ambae jeshi lake lilipigwa kisangani mara 2 na majenarali wake wa jeshi wakabebwa juu juu kwny ndege mpk Kigali ndipo wakapelekwa Kampala?

Yaani M7 ampige PK ambae amekua CMI(Chief of Military Intelligence wa Uganda) yaani anazijua chimbo zote za Uganda kama kwake vile?Hahah masihara haya.Yaani katika watu hopeless kabisa ni M7.Hio Vita itaongozwa na yule mtoto wake Muhoozi a.k.a Genetic Modified General nini?Hahah

Yaani kama walishindwa kumpindua kipindi kile wametoka kuchinjana na hata jeshi la maana akiwa Hana na bado akapeleka jeshi congo(1st&2nd Congo war) kwa sasa hawatamuweza ameshajipanga,wasubiri afe tu.Na ukitaka kujua hawazi/kuogopa kuhusu hayo sijui ya kupinduliwa sa hivi jeshi lake ndio la 3 kwa kuchangia wanajeshi wengi huko UN duniani,juzi kati amepeleka jeshi huko Central Africa kupambana na magaidi wa serikali hio,majuzi Tena rais wa Msumbiji kaenda kumuomba PK apeleke jeshi lake huko Msumbiji kupambana na magaidi na akakubali lkn viongozi wa SADC wamekataa hawataki influence yake.
 
Naunga mkono. Kosa kubwa alilofanya magufuli akamwingiza chaka ni hilo. Yule Pk ni shetani.
Kama utakumbuka ni Lipumba ndie alishauri hili baada ya kutoka ile holiday Rwanda baada ya uchaguzi wa 2015 kwamba atakaeingia madarakani akajifunze Rwanda,anyway unafiki wa Rwanda umejificha sana unahitaji umakini kama wa JK kuubaini
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Siyo huyo tu wa kuchukulia tahadhari.

Kuna wengine wanaojichekeshachekesha na kujikaribisha huku wakiwa na sumu mbaya kabisa. Mama anawezakuwa shaingia mkenge bila ya kujitambua.

Hii ni nchi kubwa na muhimu sana katika eneo hili. Kiongozi wa nchi hii hana sababu kabisa ya kujitweza kwa yeyote na kwa sababu yoyote ile.

Ni lazima kuangalia maslahi ya nchi pekee na siyo kujirahisisharahisisha na kutafuta kujiuza kama ....
 
Thank you.
Tuna taifa la watu mbumbu ambao wamejigeuza great thinkers huwezi amini, yaani Tanzania iogope Rwanda? ni post ya aibu kuliko posts zote toka nije jamiiforums.
sasa kwanini mahusiano ya magu na kagame kama yalipungua nini kilitokea
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Maombo Uongo na uchonganishi. Waafrica badala ya kuelewana tujenge umoja tunachochea utengano nchi zetu ni changa sana ulaya wakati wanaungana sisi tuanshabikia mawazo ya watu wapumbavu ya kutnegana! This is nonsense kabisa afterall Kagame na JK waliyamaliza mmebakia watu wenye mawazo ya kijima kutaka kuendeleza ugomvi sababu ya chuki zenu za kikabila. Ugomvi wa viongozi wanaoumia wala siyowao ni wananchi wa kawaida wanaofanya baishara zao na kuwa na mahusiano mazuri. Tuacheni mitazamo ya majitaka
 
Magufuli alichofanyiwa na Kagame hapo kwenye Tanzanite amekufa na Siri yake
Unaweza kuelewa kwa nini urafiki ulikufa na alikuwa ndie Rafiki yake mkubwa
Alifanya nini kuwa wazi acheni majungu jamani! alichukua Tanzanite kwa nguvu? mbona mnaleta mambo ya ajabu ajabu humu. stories za vijiweni eti alichomfanyia alifanya nini sema hapa tuone kama. Alimuiba Tanzanite?? yaani watanzania wote hatuna akili ili aje mtu mmoja atudanganye? hebu acheni theory za kufikilika na kuapndikiza chuki au unamwabudu huyo jamaa nini?
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.

Ngoja tumaluze kujiuluza kwanza:

Hawa kina Sabaya waliletwa na kushikiliwa na Kagame? Hawa kina Lissu walishambuliwa na Kagame? Hawavwa kwenye viroba, kununua wapinzani nk yalifanywa na Kagame?

Mbona kinachotula ki nguoni mwetu?

Ashauriwe mama kuwapurura manguli wa dhwalimu za awamu ya tano. Unahitajika mwanzo mpya.
 
Kwani M7 aliwekwa madarakani na nani?

Humu kuna chai nyingi kichizi,hakuna siku cement ya Bongo ilipigwa marufuku Rwanda.Hicho ulichoandika ni propaganda uchwara za vijarida vya Uganda baada ya bidhaa zao Kupigwa marufuku na PK kuingia Rwanda na hata kipindi kile cement iliadimika bongo baada ya kua inapelekwa kwa wingi Rwanda maana walikua wanatengeneza madarasa 22,000.

Kiwanda cha Hima Cement cha Uganda kina hali ngumu baada ya kushindwa ku access soko la Rwanda na Congo pia maana lazima wapitie Rwanda,Vinywaji Kama Waragi,Mafuta,Sabuni etc hali ngumu sasa hivi.Miji inayopakana na Rwanda kwa upande wa Uganda kwa sasa imegeuka kua ghost town.

Na kabla PK hajapiga marufuku bidhaa za Uganda alikuja bongo kwa ziara ya siku 1 akahakikishiwa na Magu kwamba uwezo wa ku supply tunao,sasa hivi Rwanda imejaa bidhaa tupu kutoka bongo from Cement,Mafuta ya kupikia,Konyagi na bidhaa zote za majumbani.

Na Kama hujui Rwanda ndiyo tuna export biashara kubwa kuliko nchi zote zinazotuzunguka,kuliko hata Congo,Kenya,Uganda etc,na bandari ya Dar ndipo wanapitishia bidhaa zao kwa 90%.

Tanzania's exports 2018 by country

Top export destinations of commodities from Tanzania in 2018:

Rwanda with a share of 18.6% (685 million US$)

Kenya with a share of 9.23% (338 million US$)

Dem. Rep. Congo with a share of 8.47% (310 million US$)

Zambia with a share of 7.27% (266 million US$)

Uganda with a share of 5.29% (194 million US$)

USA with a share of 4.08% (149 million US$)

China with a share of 3.94% (144 million US$)

Indonesia with a share of 3.72% (136 million US$)

Malawi with a share of 3.2% (117 million US$)

Belgium with a share of 2.7% (99 million US$)

Source:Trend economy.com
Hii source ingekuwa BOT au source ya Kutoka Tantrade ningekubali
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Ukianza kufanya mfanano wa Kiutendaji kati ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda Paul Kagame wenye Akili wote watampongeza Rais Kagame.

Baadhi ya Watanzania mmelishwa Sumu ya ' Upumbavu ' juu ya Tabia na Uhalisia wa Rais Kagame na Wanyarwanda na ndiyo Kagame ndiyo Rais anayeheshimika na Kukubalika na Mataifa Makubwa duniani huku Wanyarwanda wote wakiwa na Akili Kubwa ambazo Watanzania wengi hawana ( labda kidogo tu utazikuta kwa Wazanaki, Wahaya, Wanyambo na Waangaza ) ila huko Pwani ( Chalinze na Msoga ) ndiyo huwezi Kuzikuta labda utakuta tu Upuuzi, Ushamba na Ushirikina.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ukiuchukua huu Ushauri wa ' Kipumbavu ' na uliojaa Chuki na Wivu na Rais Kagame na Wanyarwanda basi hata Mimi GENTAMYCINE ( ambaye Kutwa huwa unanisoma hapa JamiiForums ) nitaanza Kukudharau kama nilivyoanza Kuwadharau baadhi ya Watanzania unaowaongoza sasa.

Shutuma zote dhidi ya Rais Paul Kagame ni za Uwongo mtupu na zilizojaa ' Propaganda Nyeusi ' ambayo ilipandwa ' Kimkakati ' na Rais Mstaafu Kikwete kwa Ugomvi wao Binafsi ( kutokana na Upuuzi wa huyo Mkwere ) ambao hata hivyo ulimalizwa vyema na Hayati Rais Mkapa, Mzee Butiku na Wazee ( Waandamizi wengine Watatu ambao Kimaadili naomba nisiwataje ) kwa sasa.

Rais Paul Kagame hana ' Uadui ' wowote ule na Tanzania na hata Wanyarwanda nao hawana ' Chuki ' na Watanzania. Na ndiyo maana hata katika Marais ambao wanailea vyema kabisa Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kuipa Pesa nyingi ijiendeshe kila mwaka Rais Kagame na Rais Mzee Museveni pamoka na Serikali ya China, South Africa na India ndiyo wanaongoza.

Tafadhali Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan shirikiana na Marais wote duniani na kamwe ' Mswahili ' yoyote yule asikujengee Husuda na baadhi ya Marais Wenzako. Rais Kagame ni zao ' tukuka ' kabisa la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hapa Tanzania pia ndiyo Nyumbani Kwake na ameshaifanyia mengi tu ya Mafanikio Tanzania ( hasa Kiujasusi ) dhidi ya ' Maadui ' zetu ' Kikanda 'kuliko ambavyo ' Wapumbavu ' wengi wanaokurupuka 24/7 hapa Jamvini wanajua.

Tanzania na Rwanda ni Ndugu wa Damu.
 
Rwanda imehonga Watanzania wengi sana, na Media nyingi ili kuipigia Kampeni. Mfano halisi ni Clouds na Mtangazaji wao Siza. Hawa wanahakikisha wanaitamka Rwanda na kuilinganisha kwenye kila jambo.
Lakini kiuhalisia Rwanda ni nchi ndogo kuliko Mkoa wa Kagera na wana hali mbaya ya kimaisha.

Kagame Magufuli alimkumbatia lakini hata kuja kumzika alishindwa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Ukianza kufanya mfanano wa Kiutendaji kati ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda Paul Kagame wenye Akili wote watampongeza Rais Kagame.

Baadhi ya Watanzania mmelishwa Sumu ya ' Upumbavu ' juu ya Tabia na Uhalisia wa Rais Kagame na Wanyarwanda na ndiyo Kagame ndiyo Rais anayeheshimika na Kukubalika na Mataifa Makubwa duniani huku Wanyarwanda wote wakiwa na Akili Kubwa ambazo Watanzania wengi hawana ( labda kidogo tu utazikuta kwa Wazanaki, Wahaya, Wanyambo na Waangaza ) ila huko Pwani ( Chalinze na Msoga ) ndiyo huwezi Kuzikuta labda utakuta tu Upuuzi, Ushamba na Ushirikina.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ukiuchukua huu Ushauri wa ' Kipumbavu ' na uliojaa Chuki na Wivu na Rais Kagame na Wanyarwanda basi hata Mimi GENTAMYCINE ( ambaye Kutwa huwa unanisoma hapa JamiiForums ) nitaanza Kukudharau kama nilivyoanza Kuwadharau baadhi ya Watanzania unaowaongoza sasa.

Shutuma zote dhidi ya Rais Paul Kagame ni za Uwongo mtupu na zilizojaa ' Propaganda Nyeusi ' ambayo ilipandwa ' Kimkakati ' na Rais Mstaafu Kikwete kwa Ugomvi wao Binafsi ( kutokana na Upuuzi wa huyo Mkwere ) ambao hata hivyo ulimalizwa vyema na Hayati Rais Mkapa, Mzee Butiku na Wazee ( Waandamizi wengine Watatu ambao Kimaadili naomba nisiwataje ) kwa sasa.

Rais Paul Kagame hana ' Uadui ' wowote ule na Tanzania na hata Wanyarwanda nao hawana ' Chuki ' na Watanzania. Na ndiyo maana hata katika Marais ambao wanailea vyema kabisa Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kuipa Pesa nyingi ijiendeshe kila mwaka Rais Kagame na Rais Mzee Museveni pamoka na Serikali ya China, South Africa na India ndiyo wanaongoza.

Tafadhali Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan shirikiana na Marais wote duniani na kamwe ' Mswahili ' yoyote yule asikujengee Husuda na baadhi ya Marais Wenzako. Rais Kagame ni zao ' tukuka ' kabisa la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hapa Tanzania pia ndiyo Nyumbani Kwake na ameshaifanyia mengi tu ya Mafanikio Tanzania ( hasa Kiujasusi ) dhidi ya ' Maadui ' zetu ' Kikanda 'kuliko ambavyo ' Wapumbavu ' wengi wanaokurupuka 24/7 hapa Jamvini wanajua.

Tanzania na Rwanda ni Ndugu wa Damu.
Tatizo kubwa la watu waafrika ni Ujinga wa baadhi kujiona ni bora kuliko wengine dhana hii ni ya kijinga sana ambayo binafsi mtu mwenye mawazo kama haya huwa namdharau sana sana, katika watu huwa wanaheshimu ktk jukwaa la Jamiiforum ni wewe na mimi si shabiki wa mambo ya kijinga ya kutaka kugombanisha Tanzania na Rwanda huwa naamini kabisa wanaoleta mawazo hayo ni watu wenye mitazo ya kijinga na kikabila.
Bahati mbaya sana maelezo yako eti Wanyarwanda wana akili kubwa na labda eti wazanaki, wahaya na wahangaza eti wao kidogo wana akili inanifanya nikuone hata wewe kumbe ni mjinga tu na una mawazo ya kipuuzi.

Mnyarwanda ana akili gani au ana ubora gani kuliko Mtanzania? sioni tofauti yoyote na bahati nzuri nimekaa sana Rwanda na hata wahaya sioni tofauti ya akili kubwa unayo dai zaidi ya mawazo kijinga tu na upumbavu na ndiyo maana hata wazungu walifauli kugombanisha kwa kuwadanganya eti watsusi ni bora kuliko wahutu na matokeo yake mpaka leo mnagombana na kushindana kujikweza, ujinga huu ndiyo ulipelekea mpaka mauji makubwa sana.
Kagame amejitahid sana na namsifu kuondoa ujinga huo na ndiyo maana nchi yenu sasa inaenda vizuri, but nakuapia kwa watu wenye mawazo ya kujiona wao ni bora kuliko wengine wakipata madaraka lazima wataleta machafuko mengine. Kwingine nakubaliana wewe tuache ujinga wa kuchochea chuki.
Kuhusu kumkubali Mama Samia au la usimtishe kwani wewe nani? hata usipomuunga mkono sisi watanzania tunamuunga mkono. Wewe kama vipi nenda kwenu Rwanda ila usitishe na kudharau watanzania kwa kujificha kweye keyboard huku ukidhania hatujui wewe ni nani tena nakuhakikishia mimi nakujua vizuri ipo siku nitatoa jina lako halisi hapa na makazi yako.
 
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Kagame mwizi mkubwa yule, watu wake wote wa IT na wengine walioajiriwa TZ na magufuli waondolewe, na warudishwe kwao wapuuzi wale.

Kagame mnafki sana yupo kiwizi na kimaslahi alileta janja janja nyingi, akajifanya rafiki wa magufuli then akamgeuka vibaya sana (ni msaliti)

Watu na viongozi wa dizain ya kina kagame Mama Samiah Suluh Hassan awe nao makini sana na kukaa nao mbali sana.

Hafadhali UHURU KENNYATA wa Kenya mara 100.
 
Ukianza kufanya mfanano wa Kiutendaji kati ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda Paul Kagame wenye Akili wote watampongeza Rais Kagame.

Baadhi ya Watanzania mmelishwa Sumu ya ' Upumbavu ' juu ya Tabia na Uhalisia wa Rais Kagame na Wanyarwanda na ndiyo Kagame ndiyo Rais anayeheshimika na Kukubalika na Mataifa Makubwa duniani huku Wanyarwanda wote wakiwa na Akili Kubwa ambazo Watanzania wengi hawana ( labda kidogo tu utazikuta kwa Wazanaki, Wahaya, Wanyambo na Waangaza ) ila huko Pwani ( Chalinze na Msoga ) ndiyo huwezi Kuzikuta labda utakuta tu Upuuzi, Ushamba na Ushirikina.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ukiuchukua huu Ushauri wa ' Kipumbavu ' na uliojaa Chuki na Wivu na Rais Kagame na Wanyarwanda basi hata Mimi GENTAMYCINE ( ambaye Kutwa huwa unanisoma hapa JamiiForums ) nitaanza Kukudharau kama nilivyoanza Kuwadharau baadhi ya Watanzania unaowaongoza sasa.

Shutuma zote dhidi ya Rais Paul Kagame ni za Uwongo mtupu na zilizojaa ' Propaganda Nyeusi ' ambayo ilipandwa ' Kimkakati ' na Rais Mstaafu Kikwete kwa Ugomvi wao Binafsi ( kutokana na Upuuzi wa huyo Mkwere ) ambao hata hivyo ulimalizwa vyema na Hayati Rais Mkapa, Mzee Butiku na Wazee ( Waandamizi wengine Watatu ambao Kimaadili naomba nisiwataje ) kwa sasa.

Rais Paul Kagame hana ' Uadui ' wowote ule na Tanzania na hata Wanyarwanda nao hawana ' Chuki ' na Watanzania. Na ndiyo maana hata katika Marais ambao wanailea vyema kabisa Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kuipa Pesa nyingi ijiendeshe kila mwaka Rais Kagame na Rais Mzee Museveni pamoka na Serikali ya China, South Africa na India ndiyo wanaongoza.

Tafadhali Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan shirikiana na Marais wote duniani na kamwe ' Mswahili ' yoyote yule asikujengee Husuda na baadhi ya Marais Wenzako. Rais Kagame ni zao ' tukuka ' kabisa la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hapa Tanzania pia ndiyo Nyumbani Kwake na ameshaifanyia mengi tu ya Mafanikio Tanzania ( hasa Kiujasusi ) dhidi ya ' Maadui ' zetu ' Kikanda 'kuliko ambavyo ' Wapumbavu ' wengi wanaokurupuka 24/7 hapa Jamvini wanajua.

Tanzania na Rwanda ni Ndugu wa Damu.
Kama wewe ni mnyarwanda jiandae kurudishwa kwenu. Wanyarwanda wote awam hii mnarudishwa kwenu hatutaki wasaliti na wezi.
 
Back
Top Bottom