Tanzania tuwe makini na Rais Paul Kagame, siyo mtu wa kuaminika

Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,060
2,000
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
Kagame mwizi mkubwa yule, watu wake wote wa IT na wengine walioajiriwa TZ na magufuli waondolewe, na warudishwe kwao wapuuzi wale.

Kagame mnafki sana yupo kiwizi na kimaslahi alileta janja janja nyingi, akajifanya rafiki wa magufuli then akamgeuka vibaya sana (ni msaliti)

Watu na viongozi wa dizain ya kina kagame Mama Samiah Suluh Hassan awe nao makini sana na kukaa nao mbali sana.

Hafadhali UHURU KENNYATA wa Kenya mara 100.
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,060
2,000
Ukianza kufanya mfanano wa Kiutendaji kati ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda Paul Kagame wenye Akili wote watampongeza Rais Kagame.

Baadhi ya Watanzania mmelishwa Sumu ya ' Upumbavu ' juu ya Tabia na Uhalisia wa Rais Kagame na Wanyarwanda na ndiyo Kagame ndiyo Rais anayeheshimika na Kukubalika na Mataifa Makubwa duniani huku Wanyarwanda wote wakiwa na Akili Kubwa ambazo Watanzania wengi hawana ( labda kidogo tu utazikuta kwa Wazanaki, Wahaya, Wanyambo na Waangaza ) ila huko Pwani ( Chalinze na Msoga ) ndiyo huwezi Kuzikuta labda utakuta tu Upuuzi, Ushamba na Ushirikina.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan ukiuchukua huu Ushauri wa ' Kipumbavu ' na uliojaa Chuki na Wivu na Rais Kagame na Wanyarwanda basi hata Mimi GENTAMYCINE ( ambaye Kutwa huwa unanisoma hapa JamiiForums ) nitaanza Kukudharau kama nilivyoanza Kuwadharau baadhi ya Watanzania unaowaongoza sasa.

Shutuma zote dhidi ya Rais Paul Kagame ni za Uwongo mtupu na zilizojaa ' Propaganda Nyeusi ' ambayo ilipandwa ' Kimkakati ' na Rais Mstaafu Kikwete kwa Ugomvi wao Binafsi ( kutokana na Upuuzi wa huyo Mkwere ) ambao hata hivyo ulimalizwa vyema na Hayati Rais Mkapa, Mzee Butiku na Wazee ( Waandamizi wengine Watatu ambao Kimaadili naomba nisiwataje ) kwa sasa.

Rais Paul Kagame hana ' Uadui ' wowote ule na Tanzania na hata Wanyarwanda nao hawana ' Chuki ' na Watanzania. Na ndiyo maana hata katika Marais ambao wanailea vyema kabisa Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kuipa Pesa nyingi ijiendeshe kila mwaka Rais Kagame na Rais Mzee Museveni pamoka na Serikali ya China, South Africa na India ndiyo wanaongoza.

Tafadhali Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan shirikiana na Marais wote duniani na kamwe ' Mswahili ' yoyote yule asikujengee Husuda na baadhi ya Marais Wenzako. Rais Kagame ni zao ' tukuka ' kabisa la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na hapa Tanzania pia ndiyo Nyumbani Kwake na ameshaifanyia mengi tu ya Mafanikio Tanzania ( hasa Kiujasusi ) dhidi ya ' Maadui ' zetu ' Kikanda 'kuliko ambavyo ' Wapumbavu ' wengi wanaokurupuka 24/7 hapa Jamvini wanajua.

Tanzania na Rwanda ni Ndugu wa Damu.
Kama wewe ni mnyarwanda jiandae kurudishwa kwenu. Wanyarwanda wote awam hii mnarudishwa kwenu hatutaki wasaliti na wezi.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,049
2,000
Tatizo kubwa la watu waafrika ni Ujinga wa baadhi kujiona ni bora kuliko wengine dhana hii ni ya kijinga sana ambayo binafsi mtu mwenye mawazo kama haya huwa namdharau sana sana, katika watu huwa wanaheshimu ktk jukwaa la Jamiiforum ni wewe na mimi si shabiki wa mambo ya kijinga ya kutaka kugombanisha Tanzania na Rwanda huwa naamini kabisa wanaoleta mawazo hayo ni watu wenye mitazo ya kijinga na kikabila.
Bahati mbaya sana maelezo yako eti Wanyarwanda wana akili kubwa na labda eti wazanaki, wahaya na wahangaza eti wao kidogo wana akili inanifanya nikuone hata wewe kumbe ni mjinga tu na una mawazo ya kipuuzi.

Mnyarwanda ana akili gani au ana ubora gani kuliko Mtanzania? sioni tofauti yoyote na bahati nzuri nimekaa sana Rwanda na hata wahaya sioni tofauti ya akili kubwa unayo dai zaidi ya mawazo kijinga tu na upumbavu na ndiyo maana hata wazungu walifauli kugombanisha kwa kuwadanganya eti watsusi ni bora kuliko wahutu na matokeo yake mpaka leo mnagombana na kushindana kujikweza, ujinga huu ndiyo ulipelekea mpaka mauji makubwa sana.
Kagame amejitahid sana na namsifu kuondoa ujinga huo na ndiyo maana nchi yenu sasa inaenda vizuri, but nakuapia kwa watu wenye mawazo ya kujiona wao ni bora kuliko wengine wakipata madaraka lazima wataleta machafuko mengine. Kwingine nakubaliana wewe tuache ujinga wa kuchochea chuki.
Kuhusu kumkubali Mama Samia au la usimtishe kwani wewe nani? hata usipomuunga mkono sisi watanzania tunamuunga mkono. Wewe kama vipi nenda kwenu Rwanda ila usitishe na kudharau watanzania kwa kujificha kweye keyboard huku ukidhania hatujui wewe ni nani tena nakuhakikishia mimi nakujua vizuri ipo siku nitatoa jina lako halisi hapa na makazi yako.
Itapendeza zaidi ukishatoa Jina langu halisi la Kalemera Mazimpaka Rwigyema na uwaelekeze yalipo Makazi yangu hapa Mkoani Gisenyi nchini Rwanda nilipo pamoja na Picha yangu pia sawa? Huwa na sijawahi pia kutishwa na ' Pigs ' wa aina yako na Vita Mimi ni sehemu Kuu ya Maisha yangu na si tu napenda Vita bali naimudu ( naiweza ) Vita vile vile.
 
kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
883
500

Yaani wewe nimekudharau kabisa . Kama hao unawasifia hapa kwamba wana akili ndiyo wako hivyo basi nyie hovyo kabisa na wajinga wakubwa ndiyo maana mnauwana kama wanyama tu. Nimepoteza muda wangu kujadiliana na wewe kumbe kichwa hakina akili ni kopo tu. Vita? we nunda kweli aisee
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,013
2,000
Mzee Mstaafu Kikwete tafadhali mtahadharishe Rais Samia juu ya unafiki wa Kagame maana unamfahamu vizuri.

Kagame ni mtu mbaya sana na yuko radhi kufanya lolote ilimradi apore mali, leo hii taifa lijifunze hatutaki influence ya watu aina ya Kagame tena kwenye nchi yetu.

Kama nchi hatutaki kabisa Kagame na habari zake tena hapa yeye aendelee kuunda waasi wake huko DRC , aendelee kushirikiana na mabebebru kuiba rasilimali za Congo lakini hatutaki yajirudie kwetu hapa.

Hayati Magufuli alifanya kosa kubwa kumwamini.
PK ni millitary genius! Anatumia techniques za Wayahudi. Kigali ni njia kuu ya kupeleka madini Ulaya na Asia.
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,013
2,000
Magufuli alichofanyiwa na Kagame hapo kwenye Tanzanite amekufa na Siri yake
Unaweza kuelewa kwa nini urafiki ulikufa na alikuwa ndie Rafiki yake mkubwa
Na mazishi ya Mwendazake alipotezea, Jiwe angefufuka sijui PK na Mu7 wataficha wapi nyuso zao. RIP jiwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom