Kufuatia uamuzi wa uongozi wa Barclays kutaka kuuza tawi lake la Africa. Serikali ya Tanzania ifikirie kuinunua hiyo Bank kubwa Africa na kuweza kuongeza vitega uchumi nje ya nchi.
Naimani chini ya uongozi wa watu makini na mashuhuri kama Lau Mafuru Dr.Kimei Bade na Heri Bomani wanaweza kabisa kuiongoza hii bank na ikawa na ufanisi mkubwa na kuleta tija nchini.
Kwa sasa CRDB wana tawi Burundi na linafanya vizuri tu, pia Bank ya Exim inayo matawi comoro na nchi zingine za Africa na yana endeshwa kwa ufanisi mkubwa.