Tanzania tunaichafua wenyewe tukizani eti ndio siasa ya kubomoa chama fulani

Dtts

Member
Feb 20, 2012
52
9
Ndugu wana JF,
Sisi kama watanzania tuepukane na siasa chafu za kisiasa ambazo mwisho wake inchi yetu
iliyokuwa na amani sasa inatoweka,ccm inawatu wengi wasomi kwanini inahalibu siasa
kwa kuhofia kushindwa,kuna mtu aliwahi sema hv karibuni tumepanga mbinu kubwa za kuichafua chadema,
sasa mnajimaliza wenyewe mwenye akili timamu anaona.
 
Ccm wametoa uongozi kwa wahuni kama mwigulu na abdala bulembo, kina sitta hawataki kuokoa jahaz, kama ccm ingelipenda taifa letu isingempa mwigulu nchemba cheo kama hicho. Mwigulu ni muuaji! Shame on him!
 
Ndugu wana JF,
Sisi kama watanzania tuepukane na siasa chafu za kisiasa ambazo mwisho wake inchi yetu
iliyokuwa na amani sasa inatoweka,ccm inawatu wengi wasomi kwanini inahalibu siasa
kwa kuhofia kushindwa,kuna mtu aliwahi sema hv karibuni tumepanga mbinu kubwa za kuichafua chadema,
sasa mnajimaliza wenyewe mwenye akili timamu anaona.

Mbona wanajichafulia wenyewe hata kwa ugeni unaokuja kwamba Arusha si salama na Tanzania kwa jumla. Nadhani master mind wa CCM na hao watawala warudi tena chuoni. Wana hekima walisema "Practice makes perfection" Walianza na mabomu ya machozi na virungu kuwadhibiti wapinzani,sasa wameleta mabomu makanisani na mikutano ya CHADEMA, nadhani wanawakomaza watanzania na soon hali haitadhitika.

Kwa hasira wananchi wataendelea kuwakataa kwa kasi kubwa sana, Poleni sana nadhani CM wakauangalie mkanda wa SARAFINA kwa makini waone namna mabomu, vitimbi vinavyowafanya wananchi wanakuwa sugu.
 
Ndugu wana JF,
Sisi kama watanzania tuepukane na siasa chafu za kisiasa ambazo mwisho wake inchi yetu
iliyokuwa na amani sasa inatoweka,ccm inawatu wengi wasomi kwanini inahalibu siasa
kwa kuhofia kushindwa,kuna mtu aliwahi sema hv karibuni tumepanga mbinu kubwa za kuichafua chadema,
sasa mnajimaliza wenyewe mwenye akili timamu anaona.

yanayotokea sasa yawe funzo kwa watanzania wote kujitambua pale wanapokuwa wameshika karatasi ya kura wajue wanahukumu maisha yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom