Tanzania tunahitaji wabunge wenye kariba ya Sugu, Lema, Heche, Msigwa, Zitto n.k

DOMBWELA

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
612
1,000
Jamani nimekuwa nina mazoea kupitia ya kupitia clip mbali mbali na hasa za wanasiasa wetu pale ninapokuwa nimetulia, kwa kweli hivi vichwa nilivyotaja hapo juu na wengine ambao sijawataja kwa kweli vichwa hivyo huwa vinanikosha, yaani napata hamu ya kuendelea kusikiliza michango yao wakiwa Bunge na nje ya bunge.

Niwapongeze wao na wanachi waliowachagua, kura zao hazikuenda bure maana kazi waliyowatuma wanaifanya kweli kweli!.

Mungu wa mbingu na nchi aendelee kuwasimamia na kuwalinda watimize wajibu wao, maana jukumu lao kubwa ni kuwasemea wananchi wao na kuisimamia Serikali ambalo kwangu mimi nao wamelitimiza.

Lakini pia kuna kitu ambacho sasa hivi sikioni kwa wabunge wangu wa Chama Cha Mapinduzi na hasa katika awamu hii, jukumu hili la kuwa wasemaji wa wapiga kura wao na wananchi wao wameliacha au sijui wamezibwa mdomo?

Hivi najiuliza Mh Nape bado ni yule yule ninaemfahamu? Mwigulu my bro ndiye yule yule? Bashe nae kapotea jumla. Selukamba ndugu yangu uko wapi? n.k.

Nimewataja wabunge wangu wa chache wa CCM chama changu maana sielewi elewi, jamani mnatusemeaje huko bungeni na nje ya Bunge maana sivyo tulivyowazoea mkitusemea na kuisimamia Serikali maana jukumu hilo sasa mmeiachia Serikali, hata kama Serikali inatokana na chama chetu tungehitaji kufanya zaidi ya tulichokifanya.

Hivi kama kukitokea bahati mbaya uchaguzi ujao kukawepo tume huru ya uchaguzi ambayo haitokani na chama chetu tutatoboa kweli?

Anyway sorry nimeingia kwenye mjadala, ila lengo la hoja hii ni kuwapongeza wabunge wetu tunaoamini wametimiza wajibu wao na wale ambao tunaona hawajatimiza wajibu wao nao pia tuwashauri nini cha kufanya.

Sasa twaweza kuendelea kuwataja na kuwapongeza na kuwashauri waheshimiwa wetu bila kujali itikadi za vyama vyao nini cha kufanya!

Karibuni sana!
 
Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
637
1,000
Chama chetu chama chetu, wewe na nani..?

Wala usijifiche, wewe uko upande ule mwingine unaopiga jalamba.
 
Mpuretamu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
252
500
Ila kuweka ushabiki pembeni, wabunge wa chama tawala wako bungeni kula kodi na kupitisha sheria za kuwaumiza wananchi. Upinzani wana maono sema akidi inawagomea kulipeleka hili taifa mbele. Kudos to them.
 
owomkyalo

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
3,833
2,000
Mnadanganya idadi ya vifo na wagonjwa, huku mnafanya maombi!
• Mnaacha Baa zote nchini wazi, watu wanalewa na kuzini usiku kucha, huku mnaendelea kufanya maombi!
Watanzania wenzangu, tuambizane ukweli, hakuna Mungu atakayepokea maombi yetu, labda Mungu wa Chato
 
Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
223
250
Jamani nimekuwa nina mazoea kupitia ya kupitia clip mbali mbali na hasa za wanasiasa wetu pale ninapokuwa nimetulia, kwa kweli hivi vichwa nilivyotaja hapo juu na wengine ambao sijawataja kwa kweli vichwa hivyo huwa vinanikosha, yaani napata hamu ya kuendelea kusikiliza michango yao wakiwa Bunge na nje ya bunge.

Niwapongeze wao na wanachi waliowachagua, kura zao hazikuenda bure maana kazi waliyowatuma wanaifanya kweli kweli!.

Mungu wa mbingu na nchi aendelee kuwasimamia na kuwalinda watimize wajibu wao, maana jukumu lao kubwa ni kuwasemea wananchi wao na kuisimamia Serikali ambalo kwangu mimi nao wamelitimiza.

Lakini pia kuna kitu ambacho sasa hivi sikioni kwa wabunge wangu wa Chama Cha Mapinduzi na hasa katika awamu hii, jukumu hili la kuwa wasemaji wa wapiga kura wao na wananchi wao wameliacha au sijui wamezibwa mdomo?

Hivi najiuliza Mh Nape bado ni yule yule ninaemfahamu? Mwigulu my bro ndiye yule yule? Bashe nae kapotea jumla. Selukamba ndugu yangu uko wapi? n.k.

Nimewataja wabunge wangu wa chache wa CCM chama changu maana sielewi elewi, jamani mnatusemeaje huko bungeni na nje ya Bunge maana sivyo tulivyowazoea mkitusemea na kuisimamia Serikali maana jukumu hilo sasa mmeiachia Serikali, hata kama Serikali inatokana na chama chetu tungehitaji kufanya zaidi ya tulichokifanya.

Hivi kama kukitokea bahati mbaya uchaguzi ujao kukawepo tume huru ya uchaguzi ambayo haitokani na chama chetu tutatoboa kweli?

Anyway sorry nimeingia kwenye mjadala, ila lengo la hoja hii ni kuwapongeza wabunge wetu tunaoamini wametimiza wajibu wao na wale ambao tunaona hawajatimiza wajibu wao nao pia tuwashauri nini cha kufanya.

Sasa twaweza kuendelea kuwataja na kuwapongeza na kuwashauri waheshimiwa wetu bila kujali itikadi za vyama vyao nini cha kufanya!

Karibuni sana!
Kuchagua mmoja mmoja inawezakana, kama kuchagua wote basi hilo ni maamuzi fikirishi, Tumewazoea lani katka hilo kundi wapo wanaotakiwa kubadilisha.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,914
2,000
Jamani nimekuwa nina mazoea kupitia ya kupitia clip mbali mbali na hasa za wanasiasa wetu pale ninapokuwa nimetulia, kwa kweli hivi vichwa nilivyotaja hapo juu na wengine ambao sijawataja kwa kweli vichwa hivyo huwa vinanikosha, yaani napata hamu ya kuendelea kusikiliza michango yao wakiwa Bunge na nje ya bunge.

Niwapongeze wao na wanachi waliowachagua, kura zao hazikuenda bure maana kazi waliyowatuma wanaifanya kweli kweli!.

Mungu wa mbingu na nchi aendelee kuwasimamia na kuwalinda watimize wajibu wao, maana jukumu lao kubwa ni kuwasemea wananchi wao na kuisimamia Serikali ambalo kwangu mimi nao wamelitimiza.

Lakini pia kuna kitu ambacho sasa hivi sikioni kwa wabunge wangu wa Chama Cha Mapinduzi na hasa katika awamu hii, jukumu hili la kuwa wasemaji wa wapiga kura wao na wananchi wao wameliacha au sijui wamezibwa mdomo?

Hivi najiuliza Mh Nape bado ni yule yule ninaemfahamu? Mwigulu my bro ndiye yule yule? Bashe nae kapotea jumla. Selukamba ndugu yangu uko wapi? n.k.

Nimewataja wabunge wangu wa chache wa CCM chama changu maana sielewi elewi, jamani mnatusemeaje huko bungeni na nje ya Bunge maana sivyo tulivyowazoea mkitusemea na kuisimamia Serikali maana jukumu hilo sasa mmeiachia Serikali, hata kama Serikali inatokana na chama chetu tungehitaji kufanya zaidi ya tulichokifanya.

Hivi kama kukitokea bahati mbaya uchaguzi ujao kukawepo tume huru ya uchaguzi ambayo haitokani na chama chetu tutatoboa kweli?

Anyway sorry nimeingia kwenye mjadala, ila lengo la hoja hii ni kuwapongeza wabunge wetu tunaoamini wametimiza wajibu wao na wale ambao tunaona hawajatimiza wajibu wao nao pia tuwashauri nini cha kufanya.

Sasa twaweza kuendelea kuwataja na kuwapongeza na kuwashauri waheshimiwa wetu bila kujali itikadi za vyama vyao nini cha kufanya!

Karibuni sana!
Hawa wote hutawaona Bunge lijalo!!....unless tukubali kushirikiana wote kwa pamoja kudai Tume Huru!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom