Tanzania tunahitaji uongozi wa namna hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tunahitaji uongozi wa namna hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semilong, Jun 6, 2009.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hii kali sana, Hii ni staili ya Lowasa.
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  lowasa haipendi nchi yake anawaza kujitajirisha tu yeye

  lowasa angeweza kumfanya RA hivyo?
  huyo jamaa ndiyo RA wa russia...
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hapa ndo tunamuhitaji mrema enzi zake....
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Jun 7, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,606
  Likes Received: 3,896
  Trophy Points: 280

  Nadhani jamaa alimaanisha ndiyo Lowassa huwa anafanya hivyo, tuache habari yake ya ufisadi MSISIMKO WA KUWA AZIRI MKUU YUPO LIVE LOWASSA ALIUONYESHA KULIKO MTOTO WA MKULIMA. Tungepata PM clean ambaye angekuwa na vitabia 'vizuri' vya Lowasa au Mrema ngau nchi inapendeza.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Asante kwa kutukumbusha maana mara nyingi tunajisahau kuwa mambo yanabadilika
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Style hii ya kuwawajibisha watu hapohapo Lowasa anayo, whether it is effective or not that is another issue.
  Putin naye siyo kiongozi mzuri kihivyo, Demokrasi imerudi nyuma kidogo huko kulinganisha na enzi za Yeltsin. Magavana siku hizi wanateuliwa kama Bongo wakuu wa mikoa wanavyoteuliwa, zamani walikuwa wanachaguliwa[i stand to be corrected]. Waandishi wanauawa na wapinzani kuwekewa sumu. Uchumi wao pia umekua si kwa kwa ajili ya uongozi wa Putin bali bei nzuri ya mafuta.
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Wakati US, UK wana madeni: Russia wana akiba ya zaidi ya USD 200 Billion!
   
Loading...