Tanzania Tunahitaji Rais mzee, Waziri Mkuu kijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Tunahitaji Rais mzee, Waziri Mkuu kijana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibange, Feb 5, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwanza nieleze mimi ni mfuatiliaji sana wa siasa za nchi mbalimbali. Nilichogundua ni kwamba marais wengi wazee ni wazuri sana kwa sababu zifuatazo:
  (i) Kwanza wana busara sana
  (ii) Pili na kubwa zaidi, kutokana na umri hana ambitions kubwa za kutumia urais ili awe tajiri

  Mifano mizuri ni rais wa Zambia kwa muda mfupi amefanya makubwa sana, mandela, Wade(though ana tamaa ya kipindi cha tatu), Kibaki nk. Marais wote hawa ambao walipata urais uzeeni hawajakubwa na kashfa za rushwa..

  Ila tukiwa na rais mzee ateue kijana kama waziri mkuu ili akimbizane na mambo ya kila siku. Ningefurahi kama mmoja wa wazee hawa angeukwaa urais: Dr Slaa, Sitta, Lowassa, Dr Salim bado ana nguvu na kiukweli anaweza akawa rais mzuri zaidi
   
 2. L

  Logician Senior Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 175
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona haujataja Marekani, Uingereza, kama mifano yako umeishia hapa Africa pekee? just thinking aloud
   
 3. m

  mharakati JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Lowassa hawezi kuacha tamaa ya hela maana ndiyo imemfikisha hapo pili lowassa anapenda sana madaraka na atataka kua kama Moi wa Kenya yaani awepo tu kwenye siasa kwa kutumia hela zake na vijana wake atakaowapandikiza...Tz inahitaji better........Dr Slaa anafaa ila timu hana, CDM bado wachanga watacheza bahati nasibu na nchi maskini kama hii itakua hatari..Sitta anafaa anaonekana kukerwa na mambo mengi, Salim amechoka siasa hatofaa tena, nafikiri Sumaye nae ni mzee na anafaa
   
 4. i

  ibange JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Siasa zetu si vizuri kufananisha na mataifa makubwa. US au UK wana viongozo vijana sana lakini wao wana mechanisms za ku control corruption. umeshawahi kusikia rais USA au PM wa UK ana tatizo la rushwa? Ile ni dunia nyingine ni Open society ila yetu ni closed society busara na uadilifu wa kiongozi binafsi ni muhimu
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Eee Mungu rais awe Magufuli na Waziri Mkuu Tindu Lissu sijui inawezekana? It is my wish anyhow
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo kwa sumae anafaa ntakuwa tofauti na yeye kwani mambo yake ni makubwa sema yamejificha sana. Pia kusema slaa hana timu umekosea sema labda ni kwavile vijana uweke shaka hapo ila wanaonekana wana msimamo
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Magufuli ana misimamo ya kijinga isiyokuwa na maendeleo pia nae anaonyesha kashaanza kulewa madaraka
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mzee Samwel Malecela naye anafaa?
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Wilbroad P. Slaa amemteua ndugu Zitto Z. Kabwe kuwa waziri mkuu wa Tanzania. TBC1 News Nov. 2015.
   
 10. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ya kusema chama au watu fulani bado ni wachanga ndiyo tatizo la watanzania wengi na ccm inalitumia sana hilo tatizo kuendelea kuwa madarakani.

  Ili kubadilika inabidi tufute haya mawazo kwenye bongo zetu.

  Rais hafanye kazi na wanachama wa chama chake tu. Bali na wataalam mbalimbali ambao wengine ni wa chama chake, wengine wa vyama vya upinzani na wengi hawana chama. Kitu muhimu hapa ni utalaam wao na uzalendo wao na sio chama wanachotoka.
   
Loading...