Hizi ndo sifa zilizitawala Tanzania yetu
- Viongozi ni wezi sana kupita maelezo, kila mtu anaiba kutokana na nafasi yake
- Viongozi ni wababe sana na wanajichukulia sheria mikononi wanavyotaka,
- Hajira Hakuna, na kila kukicha zilizokuwepo zinatoweka
- wanaotafuta Riziki mitaani wanapigwa tu na migambo bila kujali kuwa hakuna njia ya kupata pesa ya kujikimu.
- Mwizi ni yule anayeiba maembe kariakoo, na anayeiba kwa kutumia bunduki, ila wanaoiba kwa kuwasomesha viongozi juu, na kuingia mikataba mibovu sio wezi hao,
- Uraisi umekuwa ni mahala pa kutajirikia baada ya kuwasaidia wananchi na kunyanyua maisha
Na mengineyo mengi, sasa ebu tuangalie hapa tunaenda wapi
Tunafanya nini kulinusuru Taifa letu, maana sisi hapa JF tunaifanya kazi kweli kweli, lakini bado about 80% ya watanzania hawana access na JF
Tua strategy please za kuwafikia wadanganyika na kuwaondoa kwenye wimbi hilo