Tanzania tuna utaratibu wa kuangalia networth? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuna utaratibu wa kuangalia networth?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MwanaFalsafa1, Mar 26, 2010.

 1. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kwa wenzetu kwenye nchi zilizo endelea kuna utaratibu wa kujua thamani ya assets za mtu binafsi na makapuni. Hii ndiyo maana wenzetu wanaweza kuorodhesha watu au mashirika yenye pesa zaidi. Je kwa Tanzania tuna utaratibu wa kujua mtu binafsi au shirika ina assets za kiasi gani? Nadhani tungeweza kufanya hivyo tungeweza kuona jinsi watanzania na Tanzania ilivyo tajiri(aidha kwa uhalali au la).
   
 2. D

  DrMosha Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Je tunayo orodha ya makampuni makubwa 100 hapa Tanzania? Hii itatupa kigezo cha kutengeneza orodha ya matajiri wa Kitanzania.Ila nijuavyo ni kwamba utajiri mkubwa wetu bado umelala (latent). Na yule anayeonekana tajiri sana, bado yuko mbali sana na matajiri wa Dunia. Tujipe moyo kwani Africa ya Kusini, Misri, Sudan na Nigeria sasa wako kwenye orodha ya matajiri wa dunia.
   
Loading...