Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
masaburiKama hauna cha kuchangia si utulie tu.
masaburiKama hauna cha kuchangia si utulie tu.
Mnamlaumu bure tu, wa kujilaumu ni sisi wenyewe, maana ndio tuliomweka madarakani
EL=JK (maswahiba mafisadi waliounda kampuni hewa ya Richmond inayotuumiza vichwa watz hadi sasa)...hatufai..!!!Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze
mtu mmoja mwenye busara sana alipata kusema walioshindwa kwenye uchaguzi wa kisiasa ni kama nyati aliyejeruhiwa Jk umewajeruhi chadema wako tayari kukusingizia mengi hata ambayo yalitokea awamu zilizopita. hakuna anayetaka kumgusa Mwinyi wala Mkapa kila baya ni wewe tu. Hizi ni dalili za mtu aliyeanza kupoteza kufikiri vema.
ili rais wenu awafikishe kokote lazima ajue anakotaka kuwapeleka; lakini bahati mbaya sana rais wenu hajui alikotoka, alipo sasa wala wapi anakwenda!! Kama hali ndiyo hivyo ilivyo, unapouliza kama mtafika ni kuelekea wapi?
Aondoke haraka sisi sasa tunamtaka lowasa tu aje awe rais wetu jk amechemsha kwa kila kitu kwake ni kigumu ameshindwa urais jk apumzike kwao huko chalinze
SIo kweli kwamba sisi ndiyo tulimweka JK madarakani. waliomweka madarakani ni TISS na NEC na wanamtandao.Mnamlaumu bure tu, wa kujilaumu ni sisi wenyewe, maana ndio tuliomweka madarakani
Mimi nasema anayajua! Kuhudhuria misiba yote atakayopewa taarifa na kutoa rambirambi kubwa, kushitaki wanaomlalamikia kwa wazee wa Dsm, kuhakikisha mwezi hauishi anakuwa amesafiri walau mara 2-3 nje ya nchi kuandaa makao in case mambo yamekuwa mabaya pale Magogoni kiongozi wa nchi asipate taabuRais wa NEC sio wa Tanzania