Tanzania tuna noti ya million moja?

munyiha

Member
Nov 23, 2020
12
12
Habari wana j.f
naomba watalam wa maswala ya fedha mni saidie.nimezunguka nchi nyingi utaratibu wa fedha upo hivi kuna sent 1,2,5 na10 na 50 baada ya hapo kuna 1 mfn 1usd,1kwacha,1rand au 1tsh ambayk kwa tanzania kwa sasa hatuna.na ikitoka hiyo inafwata 2,5,10,50 na 100.
na mfano ni southa africa ambao wana 1r,2r,5r,10r50r na 100r.
Swali langu ni je...
>100tsh=one hundredth tsh=laki moja??
>1000tsh=million kumi??

wana jamii naombeni mnieleweshe kidogo.mi navyo jua nikuwa tanzania tuna koin ya lakimoja 100,noti ya milion moja 1000 na billion moja10000.

Kama ni kweli.tunaomba nchi yetu ifanye mpango wa ku print not mpya ili kuwanusuru watanzania kutembea na mzigo mkubwa wa fedha
 
Moja ya sifa ya pesa nzuri ni divisibility... Yaan iweze kugawanyika katika vipande vya thaman ndogo ndogo. Hii yote ni katika kurahisisha manunuzi/matumizi.
Noti ya laki moja au 50k nakubaliana na ww.. ila noti ya mil 1 unakuwa umeongeza matatizo tu.
 
naona sija eleweka vizuri kwenye uzi.point yangu ni kuwa 1000 ya tanzania ki mahesabu hii ni elfu moja au million moja??....kama ni million moja mbona nchi nyingine kama rsa,zambia,malawi nk 100 wanaiita laki moja?na kwanini sisi tz,kenya na ug 100000 ndio tunaita laki??...au hela yetu ni elfu
 
Kuna umuhimu wa serikali kuleta noti ya elfu 50 na laki moja
Angalia nchi zilizo simama kiuchumi noti kubwa kwao inathamani kiasi gani? Cheki usa noti ambayo ina sifuri mbili yaani
100 huku kwetu ina sifuri 5 yaani
100, 000- bila kuweka zile points sioni kama ni sahihi kuwa na noti ya laki moja ili iweje? Mwishoni utajikuta noti yablaki inanunua kilo tano za nyama na inaishia hapo
 
Moja ya sifa ya pesa nzuri ni divisibility... Yaan iweze kugawanyika katika vipande vya thaman ndogo ndogo. Hii yote ni katika kurahisisha manunuzi/matumizi.
Noti ya laki moja au 50k nakubaliana na ww.. ila noti ya mil 1 unakuwa umeongeza matatizo tu.
Noti ya laki moja bado wakti wake,mpaka 2025 nafikiri itakuwepo kwa halii inavoenda
 
Noti ya milioni ikitengenezwa haitokua na kazi,hata wewe ukipewa

hutopata pakuitumia,unafkiri nani ata risk kupokea noti ya 1m asee, sasa hv tu

ukiomba chenchi ukimpa mtu noti ya 10k tu,anaigeuza geuza kama chapati kwenye frampeni

anaikagua kiasi kwamba sio Poa, unipige noti feki ya 1m hivi si ntalia mwezi mzima,Mkuu hizo noti

hazitokaa zitengenezwe, Risk ni kubwa na hazitotumika hata noti za 50k sjui 100k sidhani asee Badoooo sanaa...

Tukomae tu na hizi hizi nyekundu zetu bado zinatisha sana tu,mtu aki iona mshpa unasmama kama kaona nn sijui...
 
Back
Top Bottom