Tanzania tuna ndege 4 na nyingine zinakuja. Unaonaje uongozi wa awamu ya tano?


Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
1,010
Likes
1,577
Points
280
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
1,010 1,577 280
Maisha hayaend hivyo kwa hiyo wenye uwezo wa kupanda ndege unataka wapande baiskel. Toka dunia iundwe hakujawahi kuwa na usawa kwenye maisha hii formula ipo tangu
Kwa hiyo Tanzania haikuwa na shirika lolote la ndege ndio zimeanza awamu hii? Mbona mnakuwa mazuzu hivi? Bombadier yenyewe ya abiria 70 nimesafiri nayo kwenda Mwanza na kurudi ikiwa tupu sasa unashangilia nini?Ni Awamu ipi watanzania walikosa usafiri wa ndege?
 
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Messages
3,492
Likes
624
Points
280
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2008
3,492 624 280
Hizo ndege zinashindana na Yutong kwenye local routes kwenda nje ya bara la Afrika hazitarudi hata moja maana wadai wetu wanazisubiri
Mi nilidhani zinatengenezwa huko huko nje ya bara la Africa, kumbe zinatengenezwa humu humu Africa 🤯🤯
 
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Messages
3,492
Likes
624
Points
280
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2008
3,492 624 280
Upinzani ukishika Dola ni vizuri kuyauza haya madege makubwa yenye kutia hasara na kuzibakisha Bomberdier kwa ajili ya shughuli za ndani.

Fedha zitakazopatikana ziende kwenye Vipaumbele muhimu
Ufahari wa kuwa na Ndege ghali wakati tuna shida nyingi na mapungufu mengi sioni tija yake.
Kamanda mbona hatukukusikia ukipinga ununuliwaji wa ndege wakati EL akinadi sera ya kuifufua air Tanzania wakati wa kampeni? Ulikuwa umelala usingizi? Nimeshawaambia, sera ya kupinga kila kitu ni incoherent, ni afadhari mkaiacha. Inawafanya muonekane wanafiki.
 
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,580
Likes
731
Points
280
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,580 731 280
NDEGE ZOTE 4 ZA AIR TANZANIA ATCL ZILIZO NUNULIWA NA UONGOZI WA AWAMU YA TANO

Tanzania Aviation Tv
Wiki jana moja imetoka mwanza ikapita chato international airport, halafu ikaruka kuja dar yote maagizo kutoka juu, nawaambia hamtapa faida labda yesu arudi
 

Forum statistics

Threads 1,235,536
Members 474,641
Posts 29,226,002