Tanzania tuna ndege 4 na nyingine zinakuja. Unaonaje uongozi wa awamu ya tano?


K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
2,260
Likes
1,528
Points
280
K

Kasongo

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2007
2,260 1,528 280
Zile A220-300 zinawasili lini?.Binafsi naona awamu hii imefanya vizuri kwenye aviation,road infrastructure,waangalie na maeneo mengine hususan afya,kilimo.
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,000
Likes
9,329
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,000 9,329 280
We kaufanyie kazi ushauri kimya kimya
Sina njia nyingine ya kukusaidia pia Mimi sio mchoyo wa kumwambia mtu nini cha kufanya ili awe normal!
Broo pia inawezekana 60% umeshaanza kupoteza kumbu kumbu!
Unaongea kama lofa.
 
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Messages
1,009
Likes
1,576
Points
280
Mchizi

Mchizi

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2009
1,009 1,576 280
Dah...mkuu jiongeze kidogo...Kuna vitu huwezi kupata manufaa yake moja kwa moja......ila unaweza kupata kwa namna nyingine....
Kuna watanzania wangapi wanatumia daraja la Nyerere?
Kuna watanzania wangapi wanatumia hospital ya Mloganzila?
Kuna watanzania wangapi wanatumia barabara ya Tunduma - Sumbawanga?
Acha ujinga aiseee
Kwa vile unatumia makalio kufikiri. Tanzania haikuwahi Kuwa na ndege zaidi ya kumi huko nyuma? Awamu hii mmekuwa kama misukule kujidai hakuna kilichowahi kufanyika ila vyote vinafanyika sasa
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
9,751
Likes
4,611
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
9,751 4,611 280
Kwa vile unatumia makalio kufikiri. Tanzania haikuwahi Kuwa na ndege zaidi ya kumi huko nyuma? Awamu hii mmekuwa kama misukule kujidai hakuna kilichowahi kufanyika ila vyote vinafanyika sasa
Dah...ukirejea andiko..hoja yako hapa ni nini kiongozi?
 

Forum statistics

Threads 1,235,322
Members 474,524
Posts 29,218,434