Tanzania tuna ndege 4 na nyingine zinakuja. Unaonaje uongozi wa awamu ya tano?


fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
6,187
Likes
3,411
Points
280
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
6,187 3,411 280
Nyie watoto wa kizungu koko jifunzeni Kiswahili kwanza.
Muombe Mungu akusaidie una tatizo kubwa sana! Pia usiwe una penda kuchelewa kulala hakikisha una lala masaa ya sio pungua sita kwa siku angalau 26 kwa mwezi!
Nitakufuatilia kukupa ushauri zaidi!
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
15,998
Likes
9,327
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
15,998 9,327 280
Muombe Mungu akusaidie una tatizo kubwa sana! Pia usiwe una penda kuchelewa kulala hakikisha una lala masaa ya sio pungua sita kwa siku angalau 26 kwa mwezi!
Nitakufuatilia kukupa ushauri zaidi!
Acha kuandika utumbo tafadhali.
 
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
6,187
Likes
3,411
Points
280
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
6,187 3,411 280
Ndiyo hao wanao endelea kulighalimu taifa
Hatari Sana mkuu yani unaona kabisa mtu anachoandika uwezo wake ni mdogo Sana wa kufikiri sijuwi kuna njia CCM wanatumiaga kuwaharibu vijana huwa hawatumii akili zao kabisa wana kuwa mazezeta Dah inasikitisha Sana!
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,132
Likes
9,851
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,132 9,851 280
Lumumba mko full of hopeless junkies. Mko kama headless chickens. Ama hizo heads zenu hazina kitu inside?
A vacuum flask is much more better than a septic tank in use. How I wish vichwa vyao vingekuwa tupu, maana pengine tungefanikiwa kuweka kitu humo. Vichwa vyao viko full, na contents zinahuzunisha.
 
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
6,187
Likes
3,411
Points
280
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
6,187 3,411 280
Ukiitwa lofa unakasirikaa. Ona sasa.
Sikushauri utoke ccm Ila nimeona tatizo kubwa ulilo nalo !!
Fanyia kazi ushauri niliyokupa!
Jilinganishe na wana chama wenzako utagundua tatizo lako kirahisi!
Mazoea hujenga tabia na tabia huaribu UBONGO!
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
15,998
Likes
9,327
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
15,998 9,327 280
Sikushauri utoke ccm Ila nimeona tatizo kubwa ulilo nalo !!
Fanyia kazi ushauri niliyokupa!
Jilinganishe na wana chama wenzako utagundua tatizo lako kirahisi!
Mazoea hujenga tabia na tabia huaribu UBONGO!
Akili za kinyumbu nyumbu.
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
9,751
Likes
4,611
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
9,751 4,611 280
Kumbe matatizo yetu yalisababishwa na kutokuwa na ndege? ni Watanzania wangapi wana uwezo wa kulipa nauli ya ndege?
Dah...mkuu jiongeze kidogo...Kuna vitu huwezi kupata manufaa yake moja kwa moja......ila unaweza kupata kwa namna nyingine....
Kuna watanzania wangapi wanatumia daraja la Nyerere?
Kuna watanzania wangapi wanatumia hospital ya Mloganzila?
Kuna watanzania wangapi wanatumia barabara ya Tunduma - Sumbawanga?
Acha ujinga aiseee
 

Forum statistics

Threads 1,235,316
Members 474,525
Posts 29,217,914