Tanzania tuna ndege 4 na nyingine zinakuja. Unaonaje uongozi wa awamu ya tano?


chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,624
Likes
13,699
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,624 13,699 280
Waandishi wa habari wanaitwa uani chini ya maturubai hapo ufipa. Ni junkyard haswa.
Hatudefine junk yard kwa muonekano, bali vitu vyenye vilivyopo.. Hata kama hapo Lumumba mnawaita hao waandishe kwenye kiyoyozi ila ni junk yard tu. Hewa tupu akili Zero IQ
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,624
Likes
13,699
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,624 13,699 280
Tunadefine junkyard kwa muonekano; kama ufipa vile kwa mfano.
Wenzio washaanza kutia akili baada ya kuwa vilaza kwa miaka nenda miaka rudi tumefanikiwa kuwatia akili. Nyie usajili mpya mpya bado dawa itapenya tu mpaka kwenye mfupa
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
89,135
Likes
773,174
Points
280
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
89,135 773,174 280
Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu nani atakuwa juu yetu
Hongera JPM
Watu wanaterza tu kwenda mikoni
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,624
Likes
13,699
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,624 13,699 280
Duh
la uso , yup takataka fyeeekelea mbali
Aibu pesa ya ruzuku iko wapi?
Umeona ehh
Bavicha magoti maloooofa
Kisutu kweupe
I really love my country Tanzania walahi
Hapo Lumumba mnatumia pesa ya ruzuku au kodi za wanyonge?
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
3,555
Likes
4,380
Points
280
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
3,555 4,380 280
1. Mkulima wa Korosho zitamsaidia nini hizo ndege zenu?
2. Mstaafu akizidiwa ataipandaje na mafao yake yako serikalini?
 
M

Mashona

Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
40
Likes
25
Points
25
M

Mashona

Member
Joined Sep 18, 2018
40 25 25
Nchi hii ina VILAZA wengi sana Kwani hizo ndege zimebadilisha nini kwenye maisha yako? Maisha ya watu mtaani yako hovyo lakini mtu anakuja kusifia vitu visivyo na impact ya haraka Kwa maisha ya Mtanzania
 

Forum statistics

Threads 1,235,315
Members 474,525
Posts 29,218,130