Tanzania tuna ndege 4 na nyingine zinakuja. Unaonaje uongozi wa awamu ya tano?

chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,628
Likes
13,716
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,628 13,716 280
Hayajui kama yanamtaka Membe au Lowasa. Ni malofa kwa kweli.
Makamanda sasa akili zao zimeshaoza.
Unayumba jombaa stick to the discussion.. Kununua scrapper kwenye junk yard hapo Texas ndio maendeleo?

Yani ndege ambazo hazifai tena kwa matumizi ya binadamu kule US zikipelekwa mazikoni kwenye yard ndio hao viongozi wenu na akili zao uchwara wanaenda kutumia kodi zetu kununua.

Alafu ikifika inaleta hitilafu watu wanajidai wanatengeneza mifumo ya Wi-Fi

Sio kwa zama hizi hamna chenye mtatuficha mfanye tusijue.
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,020
Likes
9,340
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,020 9,340 280

Makamada akili zao zimeoza kweli kweli. Yamebaki kusema sema hovyo. Hata hayaeleweki.
 
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Messages
3,492
Likes
624
Points
280
UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2008
3,492 624 280
Unasemaje, kuna nyingine zinakuja? Kwani kamanda msaliti hajafanikiwa kwenye ile kampeni take ya kutushitaki kwa wacanada ili zishikiliwe?
Mtamuua kwa pressure huyu mtu.
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,628
Likes
13,716
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,628 13,716 280
Makamada akili zao zimeoza kweli kweli. Yamebaki kusema sema hovyo. Hata hayaeleweki.
Wewe huna akili kabisa. Huna uwezo wa kujenga hoja ni matusi tu. Mwambieni slow slow awapeleke seminar mkafundishwe jinsi ya kujenga hoja sio anawaandikia nyuzi mnakuja kubandika humu tu bila kujua hata namna mzitetee mada zenyu
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,020
Likes
9,340
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,020 9,340 280
Wewe huna akili kabisa. Huna uwezo wa kujenga hoja ni matusi tu. Mwambieni slow slow awapeleke seminar mkafundishwe jinsi ya kujenga hoja sio anawaandikia nyuzi mnakuja kubandika humu tu bila kujua hata namna mzitetee mada zenyu
Junkyard ipo ufipa.
 
Forum statistics

Threads 1,235,629
Members 474,678
Posts 29,229,077