Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,542
- 2,171
KAZIIENDELEE
Uko sahihi mjombaKalishwe pekee yaka sisi tunataka tujilishe kwa tunachotaka.
Alafu tumechoka na sifa za kijinga.
Tunataka pesa mifukoni kila mtu akale kwake na sio kulishwa.
Kama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kab
Tanzania imepata rais wa kihistoriaKama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kabisa
HahahahaKama zinaweza kutulisha kwa miezi hiyo, fungu linaloweza kutushibisha kwa mwezi mmoja watugawie mitaji tupambane kitaa hapasomeki kabisa
😍😍Jamaa la FY
Tutafika tena kwa kuwahi sana,Nchi inapesa sana, KAZIIENDELEE
Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Tanzania inakimbia yaaniAkiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa TZS 2.3T sasa imefikia $5.8b toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu hakika Tanzania tuko vizuri Sana kwa sasa.
"Hakuna kama Samia "
Namba hazijawahi kudanganya na hazitadanganya tunaposema Rais Samia Suluhu Hassan rekodi zake hazikamatiki na mwendo wake unatoa matumaini mapya kila uchapo lazima kama taifa tukubaliane hivyo,
Fedha za kigeni ni muhimu kwa nchi hasa wakati wa majanga mbalimbali ambapo kwenye Jumuiya yetu ya Africa Mashariki ( EAC ) kiwango cha chini kwa nchi ni uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma nje kwa muda usiopungua miezi 4.5 mfukulizo wakati kidunia tunapashwa kuhifadhi 20% ya kinachozunguka,
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuendekeza ujenzi wa SGR kwa zaidi ya TZS 10.2trl, Kujenga JNHPP kwa zaidi ya TZS 6.55trl, kugharamia elimu bila malipo kwa watoto wetu, kupandisha madaraja|mishahara wafanyakazi wa serikali,kutoa mikopo HESLB ya zaidi ya Tshs 570b,anajenga vituo vya afya 220, kujenga madarasa 18,000, kujenga mabarabara na madaraja kila kona ya nchi,
Pamoja na yote hayo Rais Samia amefanikiwa kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni ( Gross official foreign reserves ) kwa zaidi ya $1BL sawa na Tshs 2.3trl na sasa imefikia Jumla ya $5.8BL karibu Tshs 13.34trl kutoka $4.8BL aliyoikuta,Hakika Rais Samia anamwendo,
Fedha hizi zinaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa zaidi ya miezi 6.4 mfululizo rekodi ambayo sina hakika kama kuna Rais yeyote tangu tupate Uhuru aliwahi Kuifikia.
Hata hivyo, kwakuwa GDP per Capita yetu ni TZS 2,653.8 au $1,156.8 basi pesa hii inaweza kumlipa kila Mtanzania kwa kila siku TZS 2,700 kwa miezi mitatu mfululizo yaani asifanye kazi yeyote ale na alale tu,Hakika Rais Samia ni tumaini jipya linalohitaji kuungwa mkono na kila awaye.
Baadhi ya faida za Gross official foreign reserves kwa nchi ni hizi,
Kwanza,kuiwezesha Serikali kutimiza mahitaji yake ya fedha za kigeni na mahitaji ya kuagiza bidhaa kutoka nje,
Pili,Kutoa imani kwamba Serikali inaweza ikatimiza majukumu yake ya muda mfupi kama kulipia madeni ya nje,
Tatu, Kusaidia utekelezaji wa sera za fedha na kubadilisha fedha za kigeni pamoja na uwezo wa kuingilia kuhakikisha fedha ya taifa ni imara,
Nne, Kuchangia katika mapato ya Benki Kuu kwa kuhakikisha kuna kiwango cha kutosha cha mapato kulingana na jinsi Benki inavyoweza kuhimili majanga/vihatarishi
Umbea lakini huuMwezetu CM 1774857 maisha yako mazuri sana.Unanyuzi zaidi ya tano wiki hii za kusifia wakati wezako maisha tight.