Tanzania tumezoea kuuza simu second hand sio new brand

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,005
303
Hivi ni kweli Tanzania kuna anae uza simu new brand asilimia kubwa ni second wanunuzi wengi wetu hatujii simu unaweza nunua ipo Sealed box lakini ni second
fc4e022a51a269a62f4c49470acc05ce.jpg
 
".......wengi wetu hatujii simu unaweza nunua ipo Sealed box lakini ni second"
KIVIPI MKUU..FAFANUA
 
Jiulize wangapi wanamudu kununua high end products za LG Samsung na Iphone za mwaka huo huo zilipo kuwa released?ikitoka iphone x huku tunanunu iphone 5 and 6 tu 7 ,8 hatugusi mapaka 2019 iphone x kwenye 2020 hivi
 
Original zipo ila tatizo bei mara nyingi huwa si rafiki kwetu.ninacho jua kila simu toleo jipya kwa apple na Samsung ISP Kama voda na tigo huwa wanauza ila bei Ian is ml 1.9 hadi 2.5 sasa kwa iPhone X itakayo uzwa kuanzia dollar 1000 hadi 1200 huko ughaibuni huku itakuwa tsh ml 3.Na ughaibuni watu wananunu simu kwa credit tofauti na sisi tunanunua keshi kuweka 2ml mfukoni na kutembea nayo kila siku in form of iPhone au galaxy 8 ni uwekezaji mkubwa.Kujibu swali la mdau ni kuwa genuine seller wa brand new smartphone wapo ila wachache kwa sababu soko lake ni changa au dogo.
 
Nunua Tecno mobile mbona utapata mpya kabisa wewe unataka iPhone na sumsang utasibili mpaka American na ulaya huko wazichoke ndio ujeutumie wewe
 
Back
Top Bottom