Tanzania tujitoe pia ICC?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,289
12,582
Baada ya vuguvugu la nchi za kiafrika kutaka kujiondosha ICC je Tanzania pia Tunazo sababu za msingi na sisi pia kuanzisha mchakato wa kujivua uanachama wetu kwenye Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC?
 
Ili mfanye udictator na uhayawani kwa raia kiasi mpendacho mkiwa huru bila hofu kwamba kuna chombo kinaweza kuwashughulikia?
 
Kwanza tujue sababu zilizopelekea tujiunge..... Kisha tuangalie madhara tunayoyapata kwa kujiunga.. Kisha tumvutie picha mzee wetu atafanya mangapi kama hako kahofu kadogo ka ICC kakiondoka....
 
Kwanza sijui kwa nini tulisaini kujiunga na ICC wakati mataifa makubwa ambao ndo wanafadhiri wa hii mahakama wao si wanachama. Au kulikuwa nashinikizo kwa nchi zetu labda usiposaini hupewi misaada? sijui.
 
Back
Top Bottom