Baada ya vuguvugu la nchi za kiafrika kutaka kujiondosha ICC je Tanzania pia Tunazo sababu za msingi na sisi pia kuanzisha mchakato wa kujivua uanachama wetu kwenye Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC?
Ili mfanye udictator na uhayawani kwa raia kiasi mpendacho mkiwa huru bila hofu kwamba kuna chombo kinaweza kuwashughulikia?