Tanzania: Tuimejipanga vipi kufidia mapengo ya wataalam wakongwe wanaostaafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Tuimejipanga vipi kufidia mapengo ya wataalam wakongwe wanaostaafu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ramthods, May 28, 2012.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Leo katika tembea tembea zangu, nimepitia tovuti ya Inter-Consult nikakutana na news article kuwa aliyekuwa Mkurungenzi wa Inter-Consult Eng. Mark W. Njiu amestaafu baada ya kufikisha miaka 60.

  Kwa wale wanaomfahamu Mark. W. Njiu wa Inter-Consult, ile kampuni ya ma engineers pale pembeni na millennium towers, hili jembe la Civil engineering limestaafu na kulazimika kuachia cheo cha ukurugenzi wa kampuni, baada ya kufanya kazi na Inter-Consult kwa zaidi ya miaka 30 kama Civil Engineer.

  Swali la kujiuliza watanzania hapa ni je tumeandaa wakina Njiu wa miaka ya mbele?

  Naona kama wataalam wanapungua, madaktari bingwa, ma professor etc na sina uhakika kama tuna watu walioandaliwa kufidia mapengo ya wazee kama hawa.

  Hii ni changamoto kwa taifa, na sina uhakika kama tumejipanga katika hili.

  Kwa taarifa kamili, bofya hapa: Inter-Consult Ltd | Top Management Change

  Tanzania yangu naipenda.

  Ram
   
Loading...