Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Inavyo onyesha ndg zangu wadau serikali hii ya JK na operative wake kina TAKUKURU na Bwn Fereshi DPP, wameshindwa kabisa kuwapeleka mahakamani wezi na mafisadi waliofirisi nchi yetu!!!!! Mbaya zaidi hao mafisadi bado wana influence kwenye hii serikali ya wana maghamba wanaendelea kuiba!!!!!!!!!! Sasa the right option ni waheshimiwa wabunge wapeleke mswada bungeni wa kuunda chombo kitakacho pewa madaraka na bunge, bila kuingiliwa na serikali kiwe na powers za kuinvestigate, kukamata na kufikisha wezi wote wa mali za umma ( mkataba mibovu) na mafisadi wote mahakamani ( powers to prosecute). Vile vile bunge liunde mahakama ya kushughulikia kesi za corruption bila kingiliwa na serikali na kutoa hukumu ya halali!!!!!!!!!!! Maana kama tutanyamaza eti tusubiri katiba mpya hawa watu wanazidi kufilisi nchi wanaacha mashimo na ukiwa. Kwa mbunge yeyote mpenda nchi hii ya TZ ataunga mkono, kama atapinga tunajua ni msanii msaliti au ananufaika na mapato hayo ya dhuluma kwa Watanzania!!!!!!!!!!! Nawasilisha!!!!!!!!!!