Tanzania tubadilishe Military Attache na tuweke Trade and Investment Attache | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tubadilishe Military Attache na tuweke Trade and Investment Attache

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Sep 21, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Tanzania ni lazima twende na wakati Huu sio wakati kwenye dunia ya leo wa ukombozi na kupigania uhuru. Mawasiliano ya Kijeshi hayahitaji kuwa na Military Attache kuna uhusiano wa moja kwa moja wa majeshi ya nchi husika mfamo JWT ina uhusiano mzuri wa Kijeshi na jeshi la China na USA lakini sithani kama Military Attache imesaidia kwenye hili. Nchi siku hizi zinaungana kama EAC hivyo hakuna sababu ya msingi ya kuweka Military Attache.

  Mimi nashauri tuwe na Investment & Trade Attache hii inakuwa nafasi kwa mtu kujaribu kuleta wawekezaji na kusaidia kwenye mambo mengine ya maendeleo. Mfano wa Investment sio lazima uwe wa kampuni lakini unaweza kuwa kutafuta Scholarships kwa Watanzania, kuleta Wawekezaji, Watalii, Kusaidia kwenye Partnerships za kibiashara na kuhakikisha wafanyabiashara wa pande zote hawana matatizo yasiyokuwa na msingi kama ya uhamiaji n.k. Hii itasaidia kwani Mwekezaji wa kawaida kwasasa hajui wa kuongea nae kuhusu uwekezaji na kwa Budget yetu ni lazima tuangalie je nani ni muhimu. Hivyo mimi nimeshauri hili maana halitahitaji budget nyingine bali kudadilisha tu Military Attache na kuweka Trade and Investment Attache. Vilevile badala ya kuweka watu wanaojuana inabidi tuweke watu ambao wanauzoefu kwenye diplomasia ya uwekezaji au hata Watanzania wanaoishi nchi hizo ambao ni wafanyabiashara. Ni lazima twende na wakati
   
 2. K

  Karry JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  unajua majukumu ya millitary attach?
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wanaweza kuwepo wote wawili, military & investment/trade attache?
   
 4. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  We kweli hamnazo umekosa mambo ya kuandika hapa? Ungefanya utafiti kwanza kabla ya kutoa mawazo yako hafifu, nadhani wewe siyo mzalendo wa nchi hii tena unaweza kuwa msarti mkubwa wa nchi yetu, watu wanaopenda kuanzisha mijadara ya namna hii wanatakiwa wafanyiwe uchunguzi wa kina. Kama ungekuwa unajua kazi na majukumu ya miltary attache usingethubutu kuandika uliyoyaandika. Mbona karibu nchi zote zenye ubalozi hapa nchini wana mil attache pia.
   
 5. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Mujukumu ni yapi badala ya kukashifu kwanini usitoe hoja. Je Military Attache ana umuhimu gani kwa Tanzania ya sasa?? ndiyo sababu ya kuanzisha majadilianao kutoa hoja!
   
 6. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Basically the Military Attaché acts as an observer in the foreign country and uses his ...

  There are seven sources of intelligence. Human intelligence (HUMINT) is perhaps the oldest of them all. From the covert agent, POW, defector, to the overt military 'reconnoitire', it has been the human being who has been the most prolific source of intelligence before the advent of writing and the invention of the pictograph. In course of time man learnt to transmit messages by writing them down.

  The interception of such communication became Communication Intelligence (COMINT). HUMINT&COMINT remained for hundreds of years the main source of information to civilian and military organisations.

  With the invention of printing in Europe a new source of information became available. Books, magazines and journals began to appear over the next few centuries on specialised subjects relating to military science and studies, which provided a wealth of information on foreign armies, their organisation, strategy and tactics.

  The introduction of wireless, radio and other methods of transmitting messages in the ether provided a new source of intelligence. The ability to intercept such messages gave man Signal Intelligence or SIGINT. By the 1840s, the arrival of the telegraph and Morse code gave COMINT a new dimension, the ability to tap enemy communication lines. COMINT was particularly important for Britain in the First World War.

  The invention of photography and man's ascent to air, opened up two new sources of MI. One was Imagery Intelligence (IMINT) and the other was Photographic Reconnaissance (PR). A spy could now support his case with photographs of classified documents. And as technology progressed, small and higher resolution cameras eased the task of espionage.

  As the aircrafts took to the air, they in part took over the role of the spy, collecting images far beyond the reach of HUMINT and giving MI valuable insights into the enemy's order of battle, and logistic Capabilities. For instance, a PR Spitfire had spotted an additional Panzer corps in the Ardennes forest before Op Market Garden in 1944, but unfortunately the report was not believed. PR became important to MI during the Second World War.
  It was in the realm of SIGINT that Britain had considerable success during World War II with the recording and decoding of the signals traffic of the Luftwaffe and Wehrmacht which provided in many cases a decisive edge. SIGINT

  read more source:
  understand the importance of military intelligence (hereafter MI) to the security of any country http://www.bharat-rakshak.com/LANCER/idr00001.htm
   
 7. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Tanzania tunahitaji wawekezaji na watu wa kuleta maendeleo badala ya kuwa na ma spy kila nchi. Dunia ya sasa hatuhitaji hawa watu
   
Loading...