Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,284
Ingekuwa ni jambo la kuchekesha sana kwa nchi iliyozungukwa na water bodies za kutosha kukosa coastal guard...tukubali tu kwamba wapo kimaslahi zaidi na wapo kwa kuwa protocal inataka iwepo ila hakuna wanachofanya!Asante sana ndugu yangu!
HICHO KIKOSI KIPO NA KINAFANYA KAZI NA WATU WA SA, hakikuanza leo, kiko muda mrefu tu walahi
Hivi kwa nini watu hawafanyi uchunguzi kabla ya kuanzisha uzi? TUIPENDE NCHI YETU KWA DHATI JAMANI HATUNA NYINGINE WALAHI!
Duh!