Tanzania tuache usanii

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,843
1,841
waziri mkuu kamshauri waziri mwakyembe kuachana na kampuni ya bwana Robert shumake iliyoingia ubia kujenga mradi wa train za kasi kutoka posta kwenda airport kwa sababu "haaminiki" na watafute mbia mwingine.

my take:
1. kama haaminiki hata kutekeleza mradi huo, anaendeleaje kuaminika kuwa "balozi wa heshima" wa Tanzania
2. kama ilivyowahi kusemwa humu kuwa shumake ni msanii, na sasa waziri mkuu nae kathibitisha, je kwa nini wasimvue huo ubalozi wa heshima
3. Je huu ni uthibitisho kuwa Mwakyembe ni Bigwa la kukurupuka? na hakufanya due diligence source: habari ITV
 
Back
Top Bottom