Tanzania to use TZS 11 Trillion for Kigamboni new city

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,414
By Daniel Semberya | East African Business Week | Monday, 03 October 2011

Tanzania needs a tune of $6.7 billion (Tsh11trn) to create the Kigamboni New City.

Officiating at the Ministry's Annual General Meeting that brought together over 700 land officials from all over the country, the Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development Professor Anna Tibaijuka said her ministry in collaboration with the Temeke Municipal Council was continuing with preparations of a plan to construct the new city.

Kigamboni New City is an ambitious project being overseen by the Tanzanian Government Ministry of Lands. It will be situated in the Kigamboni in Temeke district which is to the south of the city of Dar Es Salaam. It will be linked to Dar es Salaam by a new bridge which as well will cost $130 million.

The Kigamboni new city master plan is designed to build a core for accommodating new land demand such as residential, commercial, trade and business, industrial, educational and recreational facilities in Dar.

The first purpose is to create well-organized connection between old urban centers and the new city. The second purpose is to build future-oriented new model city with ICT base and excellent living environment.

The third purpose is to develop urban economic competitiveness through supplying new opportunities in advanced industry fields. Through the Kigamboni new city project, Tanzania can reinforce the leading position in the African Continent.

The New Kigamboni City includes the Kigamboni, Tungi, Vijibweni, Mjimwema and Kibada wards. And the Kizani and Mbwamaji of Somangila ward.

Tibaijuka said her ministry in collaboration with the President's Office Public Service and Management has started a process of establishing the Kigamboni New City development Authority.
 
wanaongea tu huku mda unaenda ...tunataka tu one vitendo...wanasiasa ni vigeu geu kweli....media coverage tu wanataka hawa
 
Kweli tumerogwa na ndoto zetu za alinacha! Yaani badala ya kuota tumejenga miundombinu ya maji vijijini kuwawezesha wakulima kuzalisha mazao mengi zaidi au kuota tunayaendeleza mabonde yetu ya kilimo kama Rufiji eti tunaota tumejenga pepo bongo!! Pepo yenyewe itajaa wazungu tuu wenzangu na mimi tupa kulee kimara, matitu, kwa Tumbo, kwa bibi nyau, kwa mfuga mbwa,segerea,...
 
watanzania kujenga nchi kwenye makaratasi tu tuko juuu, ila kwenye vitendo kwenye utekelezaji, tunashika mkia!
 
Mji wenyewe ni copy past ya mji mmoja kule Finland!
Kuna watu tz wanaishi chini ya mstari wa umasikini (under povert line 260tzs)
 
nilini hiyo project itaanza, mipango ni mingi kuliko vitendo.
 
Ule wa Dart bado ( Dar rapid transport) magari yaendayo kasi leo wanakuja na huu anyway tuongoje ndoto zitimie.
 
kweli alieshiba hamjui mwenye njaa!
Mji mpya is not first priority ya watanzania masikini! Wanaofikiria haya si watanzania wakawaida jamani, wameshiba na sasa wamevimbiwa, vichwa vyao vimekufa, na sasa wanafikiria kwa ******! Haiwezekani ubungo, kimara, mbagala, mwenge, sinza na miji mingine ya tanzania hakuna hata maji. Umeme ndio huu, walimu hakuna shule za kata. Hakuna maabala wala vitabu, wanafunzi wanakaa chini, barabara za vumbi, ardhi ya tanzania haijapimwa, mvua hakuna kwa hiyo kilimo bila umwagiliaji tunaandaa balaa la njaa! Mifugo inakufa, na hatimae watu tutaanza kufa kwa njaa. Kiongozi anahubiri mji wa peponi tena kwenye wilaya moja ya tanzania iliyoenea hii! Stupid power mongers!
 
The KIgamboni dream is achievable... but if they allow private sector to lead the process, serikali ibaki na mafaili na mrabaha

Gd point mkuu maana tatizo la vigogo wa serikali yetu watataka ndiyo watokee hapo! Kila Kigogo atataka kiwanja katikati ya jiji jipya wakati hapo si mwendo wa viwanja bali majengo!!!!!!
 
Tibaijuka said her ministry in collaboration with the President's Office Public Service and Management has started a process of establishing the Kigamboni New City development Authority.

...obviously, half the money for the project would ultimately go to these few born-with-a-silver-spoon-in-mouth beneficiaries!!
 
Btw, NSSF itatoa fungu kiasi gani na itachukua asilimia ngapi ya majukumu na/au mapato ya mradi huu?!
 
Hayo ma- city developmwnts authorities mimi siyapendagi!!! Maana lile la Dodoma huwa naona hata kinyaa, .imefilisika na bado ni kama mumiani linataka pesa zaidi toka kwa walipa kodi!!!

Hii project inawezekana tu kama private sector will be on the driving seat and the gov to be the regulator!! Basiiiii................. Angolans ni noma!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom