Tanzania to register fastest economic growth in East Africa

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,369
3,472
1594387396486.png

source: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa
 
Wale Nyang'auz wanaomuabudu mungu wao anayeitwa Jehova Wanyonyi watabisha.
 
Embu waulizeni hawa AFDB ni sekta ipi hapa Tanzania yenye ukuaji wa kuridhisha kiuchumi kuonesha kuwa uchumi wetu unaongoza????
 
Sekta ya madini
Sekta ya madini imekuwa au bei ya dhahabu imepanda kwenye soko la dunia sasaivi kwa rekodi ambayo haikuwepo kwa miaka 9????

Sekta ya madini Tanzania ingekuwa vizuri Petra diamond wasingesema wanauza shares zao za mgodi wa Mwadui.
 
Embu waulizeni hawa AFDB ni sekta ipi hapa Tanzania yenye ukuaji wa kuridhisha kiuchumi kuonesha kuwa uchumi wetu unaongoza????
Madini mkuu,GOLD export imeengezeka sana na bei nzuri world market per ounce ni 1700 na ushee na wanasema inaweza kufika 1800.Thats why sisi tutakuwa vizuri.
 
I beg to differ kusema kuwa kwa bei ya dhahabu tu kupanda ndo Uchumi wetu uongoze wakati sekta zingine zote ziko hoi. Huko kupanda kwa bei ya dhahabu kumeleta impact gani hasa kwenye sekta nyingine??

Ndo mana nasema hizi hadithi za uchumi kukua zinazotolewa siziamini sana. Watu wengine wanatoa takwimu ili kuwafanya mkope zaidi kwao
 
Ingia BOT website utakuta kila kitu huku kuhusu Economic kuna mothly,Quarterly report otaona mengi
 
Kiuhalisia niambie wewe unaonaje suala la uchumi kwenye kilimo hasa bei za mazao, suala ya ajira pamoja na biashara nchini Tanzania?
 
NI kweli kwenye bei ya mazao,na suala la ajira na biashara in general kunachangamoto kubwa,shida ni kuelekeza fedha kwenye miradi mikubwa ambayo haimgusi mwananchi wa kawaida moja kwa moja.Kama reli,bandari,bwawa la umeme na mengine.
na ukweli usiopingika kwenye hii awamu ya 5 fedha nyingi imekwenda kwenye miundombinu,uchukuzi na afya hivyo walioko kwenye sekta nyingine wakiangliaa tuu.Huku wakikisahau kilimo kwa kiasi kikubwa.
 
Mkuu hata kwenye huo uwekezaji wa miundombinu mradi strategic pekee ninaouona ni ule wa Rufijji kwa sababu umeme wa ziada utafanya tuweze kufanya makubwa na mazuri na kwa kidogo SGR.

Ila miradi mingine yooote haina uchochezi mkubwa wa uchumi kama serikali wangetekeleza mradi mmoja tu wa Bandari ya Bagamoyo ambayo sio tu ungewezesha ajira nyingi za makampuni makubwa Bali pia viwanda vingi vikubwa na vya kisasa

Kwenye kilimo ndo kila kitu kimeharibiwa
 
Back
Top Bottom