Tanzania to refine 970 kilograms of gold per day | The Citizen

Wakenya mlisema Tz ni lazy bones na kadhalika...haya sasa sleeping giant ameamka. ..Hela itakayozalishwa hapa mtapoteana tu.

Mna strengths zenu sisi tuna zetu. Usilazimishe tufanane.
 
For who? Tanzanians are struggling to put food on the table watavaa dhahabu saa ngapi? and its not even part of their culture anyway. Hakuna soko la dhahabu Tanzania.
Wahindi India wana dhahabu kwa wingi but are one of the poorest on earth.
 
Hata wasipovaa serikali inakusanya kodi yake itatumika kuboresha maisha yao through social services,wacha kujifunza uchawi wewe bado mdogo
 
Serikali Itakusanya kodi kutoka kwa Chuma? No one will buy that gold.
 
For who? Tanzanians are struggling to put food on the table watavaa dhahabu saa ngapi? and its not even part of their culture anyway. Hakuna soko la dhahabu Tanzania.
Wahindi India wana dhahabu kwa wingi but are one of the poorest on earth.

What do you want to say????
 
Tulitoka enzi za dhahabu na almasi kuwa na dhamana saana. Vitu zinatengenezwa laboratory sa hii.
Screenshot_20210613-162043.jpg
 
Safi sana.
Kilograms 960 kwa siku ni nyingi sana kukiwa na maana hiyo refinery ni kubwa kuliko zote hapa EA

Ya RW ni kilograms 220.

Tunahitaji nyingine kama hiyo mikoa ya kusini.
 
Wakenya mlisema Tz ni lazy bones na kadhalika...haya sasa sleeping giant ameamka. ..Hela itakayozalishwa hapa mtapoteana tu.

Mki refine gold mtakua hamna haja ya ku export bulk unprocessed deposits, sasa sijui ile esjiara yenu ya 35 ton axle load mtatumia kubeba nini manake kontena za kawaida ya 40ft zinaweza kubebwa kwa reli ya hata 15 tones/axle.
 
Kwani una akili ya matope kiasi gani? Madini ni dhahabu tu? Copper? Nickel? Graphite? tin? Aluminium? cobalt? Pia cargo kutoka Burundi, Rwanda na DRC? Je cotton? sesame? Je cement? Je chai toka Rwanda? Tobacco from Tabora? Coffee n bananas from Kagera? Meat from our state of the art abattoirs? Hide/Leather? Fish products from Lake Victoria? Iron ore/steel from Uganda?
 
Back
Top Bottom