Tanzania to have East Africa’s biggest steel mill

nomasana

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
1,784
1,467
Tanzania’s Kamal Group of Companies has said it will soon start construction of a steel producing mill, tipped to be the biggest in the entire East African region. The company’s chairman, Gagan Gupta, told reporters in Dar es Salaam yesterday that the project will cost $222 million (about Sh311 billion). The mill will have production capacity of 700,000 tonnes of steel per year.

“Containers full of equipment and heavy machines worth about $3.2 million have already arrived at the Dar es Salaam port and we expect construction to start soon”, he said. Architects have already finished work on the structural designs paving way for the laying of the foundation stone, according to Mr Gupta.

“Our plans is to make Tanzania and the East African countries spend less by buying from us and save money that could have been spent to buy same materials from some other countries, ” he said.

“A team of engineers is already in Dar es Salaam to inspect the site and take over the remaining job of installing machines”, he said.

Foreign investors

Kamal Group Limited is owned by investors from India who have vast experience in the manufacturing and agriculture sectors. The company is also developing an Economic Processing Zone (EPZ) in Bagamoyo, Coast Region.

“So far, 24 plots in the EPZ have been booked by foreign investors from India and the United Arab Emirates from the land which is more than 300 acres”, he said.

He said that the project would offer thousands of direct jobs to Tanzanians when completed.“We are encouraged by the Tanzanian government’s good policy towards investors and we hope we can play a very key role to promote the economy and the people of this great country”, he said.
 
Watanzania kwa kupenda sifa za ...ya kwanza afrika, kubwa kuliko zote africa, ....a kipekee duniani....! Halafu nothing to show for it!
 
Umeme watatoa wapi? Inabidi tuogope hivi viwanda sababu vinaweza kutumia MGW za umeme wetu wa mafungu majumbani . Au inabidi kila kiwanda kije na Dowans yake ya uzalisha umeme.

Great News anayway but kwa uememe wetu wont be suprised kusikia steel ya China bado inakuwa cheaper.
 
Umeme watatoa wapi? Inabidi tuogope hivi viwanda sababu vinaweza kutumia MGW za umeme wetu wa mafungu majumbani . Au inabidi kila kiwanda kije na Dowans yake ya uzalisha umeme.

Great News anayway but kwa uememe wetu wont be suprised kusikia steel ya China bado inakuwa cheaper.

Nashindwa kushangaa, kwani ni obvious lazima wawe wamefikiria suala la power availability kabla ya kuamua kujenga hii Mill la sivyo watachekesha sana
 
Umeme watatoa wapi? Inabidi tuogope hivi viwanda sababu vinaweza kutumia MGW za umeme wetu wa mafungu majumbani . Au inabidi kila kiwanda kije na Dowans yake ya uzalisha umeme.

Great News anayway but kwa uememe wetu wont be suprised kusikia steel ya China bado inakuwa cheaper.

Wanajenga magodauni tu....chuma inatengenezwa India wanaleta kuhifadhi wakisukuma soko Congo nk
 
hakuna chamaana nchi itafaidika nacho hapa. ukifuatilia mkataba wake ulioiruhusu kuja tz, utakuta madudu kibao. hizi habr wala hazina matumaini yoyote kwa mtz wa kawaida. ni vuvuzela zetu za kawaida zisizo na chochote
 
Hii statement... you can almost believe wako genuine....

"Our plans is to make Tanzania and the East African countries spend less by buying from us and save money that could have been spent to buy same materials from some other countries, " he said.
 
nimeona taharifa zao STAMICO wameonyesha ya kuwa hakuna uwiano wa mtaji wanaoingiza na matarajio ya kulipa kodi
 
Hii statement... you can almost believe wako genuine....

"Our plans is to make Tanzania and the East African countries spend less by buying from us and save money that could have been spent to buy same materials from some other countries, " he said.

adverts
 
Sisi wadanganyika ni wepesi kushangilia vitu bila kutathmini kwa kina impact yake kwa jamii yetu; kwa mfano je hawa jamaa watatumia raw material za mchuchuma/Liganga na kama hivyo ndivyo hiyo mikataba ya hayo makampuni yatakayochimba wabunge /kamati zake zimeipitia kuona kuwa ina faida kwa nchi? Nasema hivyo kwasababu inasemekana kampuni ya Subash Patel ndio imepewa concession ya kuchimba chuma huko mchuchuma na ni Subash huyo huyo ndio aliyeingiza umoja wa vijana wa ccm katika mkataba tata wa ujenzi wa nyumba!! Kuna umuhimu wa kuichunguza hii mikataba mapema badala ya kungoja halafu kuanza kulalamika baadae kama tunavyolizwa sasa na hii mikataba ya migodi ya dhahabu.
 
Sometimes siamini habari za dizain hii,habari inapambwa mwishowake ufisadi!
 
kiukweli hakuna lolote la matumaini hapo,ukijaribu kuchunguza kwa undani ni mgongo wa hao wawekezaji na mafisadi kuendelea kumega hela za wananchi,mikataba imejaa ulaghai hapo utakuta hao wahindi wanachukua zao za kutosha na kujitafutia soko la bidhaa zao huko india thru tanzania as a gateway,ilihali wana tanzania wanaendelea na umaskini wa kutupwa!!!!!
 
Hivi madini ya chuma (iron ore)yanapatina Bagamoyo au kiwanda kitategemea vyuma chakavu?
 
Wanajenga magodauni tu....chuma inatengenezwa India wanaleta kuhifadhi wakisukuma soko Congo nk

Hili naweza kukubaliana Sababu kuna viwanda vingi viluzwa kwa wawekezaji wamevifanya magodown na bado wanafaid tax free.

Mwatex, Mutex, Viwanda vya Ngozi ni mifano tu
.
 
Jamani... Wahindi wanaipenda TZ ila sisi tu hatuambiliki. Angalia Waziri wao mkuu ameahidi kufanya TZ kiongozi katika IT. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita rais wao, wakati ule someone Kalaam, alikuja TZ na kuahidi kujenga hospitali ongozi EA katika masuala ya ugonjwa wa moyo, lakini- hakuna ufuatiliaji (labda hawakutoa 10%).
Yawezekana hawa wanataka kufanya hivyo, lakini watakapoanza kuingiza mashine wataanza kuulizwa 10% basi watageuka nao. Ndiyo biashara ilivyo.
Bado nipo pale pale, kama hatupatii ufumbuzi tatizo la uongozi Tanzania, kila dawa tutakayopewa haitaponya. Hakuna haja ya kuwalaumu wengine hapa!
 
India ina masikini wengi percentage wise kuliko Tanzania, wako watu huko wanaishi kwa kula panya!!! Sasa kwanini hao invesor wainvest Tanzania badala ya kwao india ambako kuna umasikini wa kutupwa? Mimi siamini hii habari,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom