Tanzania to have East Africa’s biggest steel mill in Bagamoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania to have East Africa’s biggest steel mill in Bagamoyo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, May 26, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wednesday, 25 May 2011 23:13


  [​IMG]

  Steel is produced in this file photo. The construction of the Kamal steel mill will start soon in Bagamoyo, Coast Region.

  Upon its completion, it will be the biggest steel factory in East Africa.

  Dar es Salaam. Kamal Group of Companies has said it will soon start construction of a steel producing mill, tipped to be the biggest in the entire East African region.The company's chairman, Gagan Gupta, told reporters in Dar es Salaam yesterday that the project will cost $222 million (about Sh311 billion). The mill will have production capacity of 700,000 tonnes of steel per year.

  "Containers full of equipment and heavy machines worth about $3.2 million have already arrived at the Dar es Salaam port and we expect construction to start soon", he said.Architects have already finished work on the structural designs paving way for the laying of the foundation stone, according to Mr Gupta.

  "Our plans is to make Tanzania and the East African countries spend less by buying from us and save money that could have been spent to buy same materials from some other countries, " he said.

  "A team of engineers is already in Dar es Salaam to inspect the site and take over the remaining job of installing machines", he said.

  Kamal Group Limited is owned by investors from India who have vast experience in the manufacturing and agriculture sectors. The company is also developing an Economic Processing Zone (EPZ) in Bagamoyo, Coast Region.

  "So far, 24 plots in the EPZ have been booked by foreign investors from India and the United Arab Emirates from the land which is more than 300 acres", he said.

  He said that the project would offer thousands of direct jobs to Tanzanians when completed."We are encouraged by the Tanzanian government's good policy towards investors and we hope we can play a very key role to promote the economy and the people of this great country", he said.
   
 2. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  mhh!...wanataim vyuma kutoka liganga.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Mahasidi na waseme.
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Bagamoyo utalii kwishieni. Utaanza moshi huo na jivu la kufa mtu hadi miti hapo karibu ikauke.

  Walau watafaidi hao wanaofaidi sasa ambao hukesha wakimtetea na kumchagua kwa asilimia 96.

  Wanafikiri wamepata, kumbe .....................

  Wahindi wachafu sana na Mazingira. Ngoja na watu wa pwani wakione kile wanachokiona watu wa Tarime kwa sasa.

  Gupta, shusha vitu Mhindi wetu...................
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Muamba ngoma huvutia kwake(lakini hawabebeki)..

  Chuo Kikuu...
  EPZ..
  Utalii...
  Stendi kuu ya mikoa ya Kaskazini...
  Bandari...
  List inaendelea.


  ... mlioko Makalioni mwa Tanzania miaka kumi ya awamu hii ndo ishakula kwenu..!!
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hasidi kuliko wewe ni yupi huyo?
   
 7. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ukipita kukagua lile eneo waliopewa pale Kerege ndipo utaanza kuhisi kwamba inawezekana hawa mabwana hawana uwezo wa kufanya hayo wanayotamka. Kwa mradi wa dola milioni 222, ubora na kasi ya utekelezaji wake wasikitisha.
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Utajijuuuuuuuu!
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Ngoja mji usogeze ghasia pembeni kidogo. Huku kumeshajaa wanatuletea foleni tu
   
 10. Andrew john

  Andrew john Member

  #10
  Jan 7, 2013
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Hawa jamaa hawako serious hata kudogo
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2013
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa mkuu .... ukipita pale zinga bagamoyo utapata hasira kama kweli hawa wawekezaji ni serious au la wamejenga halafu wameacha magofu ... ptuu ... hebu tusubiri labda jamaa hawa wa KAMAL wanajipanga upya
   
 12. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  utapata hasara gani hayo uliyoorodhesha yakifanikiwa kujengwa. ukisema hao wa makalioni watapata shida, mbona mimi ni wa kusini, lakini nina maeneo makubwa sana ya ardhi na uwekezaji bagamoyo, arusha, mwanza, kilimanjaro na sasa nafanya mpango fulani mtwara.....kuwa mtu wa kusini hakunizuii mimi kuishi na kunufaika na kaskazini, hii nchi si vipandevipande, ni nchi moja unaweza kuishi popote, na hatutakiwi kuona kama vitu au maeneo ya kusini yana hati miliki ya watu wa asilia ya huko tu. kuna watu wa kusini hawajawahi kufika hata huko kusini kwasababu walihamia kaskazini, na kuna watu wa kaskazini hawajawahi kuishi kaskazini kwasababu makazi yao na hata kuzikwa wanategemea watazikwa kusini.....
   
 13. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2013
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  heri uliebahatika..... utawasemea nini wana-kusini wenzio?
   
 14. e

  emalau JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2013
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  steel ipi? hii ya kutumia vyuma chakavu kuharibu muindombinu? au
   
 15. A

  Alex Mponela JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 254
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ....The industry is expected to benefit thousands of Tanzanians who will be employed......utafikiri wanawalipa mshahara mkubwa sana na wa maana kumbe maskini ni yaleyale ya viwanda vya A to Z na Sunflag !!! Nyambaf! Wanaajiri maelfu ya dada zetu wanawalipa kidogo sana kazi kuwadhalilisha tu!!!
   
 16. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  naona kila kitu bwaga moyo sasa... next jiji baada ya dar es salaam... huyu mzee kwa kujipenda.... yuko juuu
   
 17. monaco

  monaco JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,307
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wahindi hawa nawachukia sana,labda katiba yetu jamani iwe nzuri,but INDIANS,Are not good at all in emplyment salary and conditions of work kabisa,sijui kwanini viongozi wetu huwapigia magoti hawa jamaa....na wanajua kuhonga sana,sana kupata wanachohitaji.....
   
Loading...