WAMURUBHERE
JF-Expert Member
- Apr 21, 2010
- 337
- 25
nitamkumbuka kuwa ndiye rais aliyewahi anguka mara kwa mara jukwaani
Najua ni swali zito lakini kwa wanaofuatilia siasa za nchi yetu hawatapata shida kutaja 'legacy' ya kikwete in case urais wake unaishia leo. Kwa kutumia michango yenu wadau wa JF tunaweza ku-generate legacy ya kikwete. Karibuni sana kwa michango!