Chief Rumanyika
Senior Member
- Dec 29, 2010
- 138
- 0
Jibu ni Watanzania wote.
Jibu ni Watanzania wote.
Najua ni swali zito lakini kwa wanaofuatilia siasa za nchi yetu hawatapata shida kutaja 'legacy' ya kikwete in case urais wake unaishia leo. Kwa kutumia michango yenu wadau wa JF tunaweza ku-generate legacy ya kikwete. Karibuni sana kwa michango!
teh teh teh you still can say it, hamna shida, uzuri wa JF huwa hatunyang'anyani verse kama wasanii wa bongoflevaUswe mimi nilitaka kusema hivyo umeniwahi! Dah I should get a faster net connection.