Tanzania: the graveyard of languages

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,586
1,678
Let's discuss this topic appeared in the East African




The way the linguistic situation in Tanzania is represented needs to be corrected. There are a number of languages in Tanzania that have already become extinct, as well as many languages that are endangered at some level.

According to the Unesco atlas (UNESCO Atlas of the World's Languages in danger) cited in the study, Tanzania has 12 languages that are categorised somewhere between vulnerable and extinct. A number of these are spoken in both Kenya and Tanzania, including the Suba language, which is the focus of much of the article. Even a number of Tanzanian Bantu languages are endangered, including for example Zaramo, Kami and Vidunda.
 
that s true!even my children they cant speak PARE language simply bse they are born in dar!
 
Lakini serikali inafanya nini, wizara ya utamaduni haihusiki?. Sijawahi sikia serikali ikizungumzia mkakati wwt wa kufufua ama kulinda lugha za jadi. Lazimz lugha nyingi zife.
 
Kuoana kati ya makabila mbalimbali kumekuwa ni kitu kizuri katika kuleta umoja wa Watanzania na kukua kwa Kiswahili na kupunguza athari za ukabila. Kwa Upande mwingine, jambo hili limesababisha kupotea kwa lugha nyingi za asili. Utakuta watu wa kabila mbili tofauti wameoana, watoto wao hawatazimudu lugha za wazazi wao kwani lugha inayozungumzwa ni Kiswahili. Hali hii inakua zaidi pale mzazi au wazazi wote wawil nao ni mchanganyiko wa makabila. Kuna haja ya serikali kuanzisha kitengo cha kukuza na kutunza lugha za asili, kwani hizi ni mojawapo ya utamaduni na historia ya Tanzania.
 
Nimefikiria naona acha zife kama kufa kwa lugha hizo kutaleta mafanikio fulani k.m. umoja wa watu. Si kuna wanyama wengine hufa ili wazae?
 
Back
Top Bottom