Tanzania thamani ya pesa ni coinsidence wakati wenzetu ni planned | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania thamani ya pesa ni coinsidence wakati wenzetu ni planned

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Profesa, Feb 2, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Miaka 50 tangu uhuru, bado thamani ya pesa yetu haiko planned inapelekwa na insidences zaidi. Nchi za wenzetu wanaangalia import-export relation kudetermine na kufanya projections za strength ya uchumi na wanacheza pamoja na mengine na currency yao. Sijalisikia hili Tanzania. Ninachokiona tunang'ang'ania misaada kujenga uchumi, huku tukijua utumwa tulio nao kwa hao wanaotupa hiyo misaada bila aibu hata budget zetu kwa sasa zinapangwa zikiwa na matarajio ya kuombaomba!! Ule moyo wa Mzee "xxxx"wa kupunguza pengo la budget unafifia kabisa na sioni uwezekano wa kuwa na uchumi unaoweza kuwa forecussed na kuwa planned well ahead of insidences.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Input and Export relation kwa hapa Tz ni zero kabisa. Dont think big....angalia Port zetu Mtwara Harbour(Cashew export + Timber) nothing is done by government. Kwa sasa hii Port ndiyo wanasema itakuwa Centre Base for exporting Oil and Gas ilhali haina marekebisho yoyote na imesahaulika.

  Viongozi wanang'ang'ana na Bandari ya Dar tu, kila mtu/kiongozi ana 10%, ufisadi tu umejaa, how does our currency be high or stable in this disgusting condition? Its terrible, na sasa tunaambiwa BOT limebakia jengo tu pale, misifa mitupu bt nothing is there, even some diamond kept outa there. Its shame
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  ni kweli nimeiona hii nchi za wenzetu, they set upper boundary against foreign currencies mostly USD, kwahiyo hapa miaka nenda rudi USD utakuta ipo within a a range na kama USD ikivuka mpaka basi govt wanaongeza export au wanaacha kuimport, hii kitu imewasaidia sana watu wa Asia kuimarisha currency zao na bank zao za ndani na kuua kabisa matumizi ya USD na pia huwa hawaruhusu kufanya malipo ya ndani kwa foreign currency. Sisi tunakwenda kinyume
   
Loading...