MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 572
- 573
Hero wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.
Mimi ni mdau na schoral wa field ya IT na lengo langu kubwa ni kuja kufanya kitu ambacho ni remarkable na nipo chimbo kwa sasa, back to topic nakua inspired sana na wakubwa waliotangulia mfano kwa mbele watu kama Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff Bezzos, Jack Ma, Late Steve Jobs to mention a few
Leo napenda tupate motivation kutoka kwa local tech Gurus mfano
- Edwin Shayo (CEO wa smart codes) jamaa alipiga mpunga mrefu sana kupitia App yake ya M pepar, kwa sasa naona ana lab yake inaitwa SmartLab na anasoma Harvard, ni miongoni mwa kidogo katika makubwa aliyoyafanya.
- Andron Mendes (Yule jamaa wa Kopagas aliyepiga bilion kama 56 hivi baada ya kuwauzia wazungu)
- Maxence Melo na Mike Mushi wa Jamii Forums
- Jumanne Mtambalike wa Sahara Sparks
- Benji Fernandez na App yake ya NALA
- Wale jamaa wa Max Malipo
- Na wengine pia nadhani tunao humu humu Jamii Forums
Karibuni wakuu muongezee nyama tupate kupeana motivation kwamba inawezekana kua next Mark Zuck au next Edwin Shayo kwa sisi Tech Geeks

Last edited: