Tanzania,Tanzania,,Tanzania,tuipiganie Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania,Tanzania,,Tanzania,tuipiganie Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jan 15, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu ni dhahiri sasa kuwa,kutokana na maisha kuendelea kuwa magumu,ambayo ni matokeo ya kuendelea kuichagua ccm,nchi yetu inaelekea pabaya,lakini hatuna budi kuelekea huko ili kuiponya nchi,kila siku na lwake,migomo udom,udsm,tucta,dowans,maandamano ya vyama vya siasa,na hata vyama vya wafanyakazi,ni dalili za mwanzo kabisa za uumbwaji upya wa taifa letu.Kwa muda mrefu wananchi wamevumilia wachache kufaidi keki ya taifa,ila sasa tunashuhudia ujasiri wa ajabu kwa watz,
  Naunga mkono mapambano haya,kuna wengi wetu watapoteza maisha lakini ni bora kufa ukipigania haki kuliko kuishi kidhalimu,,damu yake afaye kwa haki ina maana kubwa sana kuliko uzima wake aishie kwa kuchakachua maisha ya wengine.Natoa mwito kwa kila mmoja kuendelea kupinga kwa gharama yoyote watawala wetu kuendelea kutunyonya,,kutudharau,na kutudhalilisha,,,tuungane kwa pamoja tuipiganie nchi yetu na ikibidi kuifia na tuifie,
  let none to defeat us,,,let us unity for change and for the sake of this nation..........
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wapo wapi wapiganaji? Je wana intellijentsia ya kutosha? teh
   
 3. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu wapiganaji ni mimi na wewe,hatuhitaji jeshi kubwa,ila dogo lenye dhamira na nia ya kweli ya ukombozi
   
Loading...