Tanzania tanzania,nakupenda kwa moyo wote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tanzania,nakupenda kwa moyo wote!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ralphryder, Feb 2, 2012.

 1. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Serikali imeamua kufuta wizara ya afya na kufuta kabisa ajira ya madaktari na wauguzi ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku maduka ya dawa za binadamu na kuwataka watanzania wasiugue tena, serikali pia inasisitiza swala la vazi la Taifa kwakua limeonekana kuwa ni muhimu sana kuwa na vazi la kitaifa kuliko kuwa na madaktari na wauguzi na baadae mtaelekezwa maduka mtakaponunulia vazi la taifa ambapo maduka hayo yatamilikiwa na kigogo mmoja na vyuo, mashule yote na hata majeshi mtalazimika kununua maana ndio sare itakayotumika siku za sikukuu kama muungano, wanawake day watoto day, siku ya kunywa maziwa nk poleni watanzani
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  The irony..... is heartbreaking...
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  CCM OYEEEE. Watanzania ziiiiiii.
   
Loading...