Tanzania ;Taifa lenye watu wasiona Furaha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ;Taifa lenye watu wasiona Furaha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Aug 8, 2011.

1. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Pamoja na kusifiwa kuwa kisiwa cha Amani Tafiti zimeonyesha watanzania wengi hawana furaha na tunaongoza kuwa watu waliochoka, kukosa matumaini,kushangaa shangaa,pamoja na utajiri wa rasilimali zote tulizonazo ,watu wa taifa hili wamechoka kwelikweli,nini kimesababisha watu wa taifa hili kukosa Furaha?

2. SILENT ACtOR

SILENT ACtOR JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 618
Likes Received: 53
Trophy Points: 45

Tatizo hata watoto wa primary school wanalijua, na tiba ni kufanya mabadiliko ya uongozi kisiasa kupitia sanduku la kura.

3. B

Bajabiri JF-Expert Member

#3
Aug 8, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

watanzania wana bahat mbaya kwa kupenda kuchagua serikal LEGELEGE

4. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

tafiti zimeendelea kubainisha watu wamekosa maono kabisa wapowapo tu ,watu wazima, wenye familia wamekuwa ni watu wa kukimbia kimbia!nchi haina role model yoyote!

5. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

inasemekana hata usiku watu hawalali bali wanajificha tu! Kutokana na lundo la matatizo!

6. njiwa

njiwa JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Apr 16, 2009
Messages: 11,076
Likes Received: 1,811
Trophy Points: 280
mkuu hizi tafiti kafanya nani..? maeneo gani ya tanzania...?

Loading...